These are second hand disfunctional coaches from Germany. Nobody wanted to board them in Germany and that’s why they were shipped to Tanzania. They are not trains. Do you even know what trains are?Huu mzigo umewasili behewa kana nne or tano tu toka Germany, hizi ni IC trains wewe kima. ziko locomotives and coaches zaidi ya 26 zinafanyiwa finishing huko Germany.
View attachment 3046766
View attachment 3046765
View attachment 3046764
They are not even here yet, fool. Acha kujidanganya. Yenu ya Spain ni mabovu. Hayo yalikuwa operational na DOB na yamenunuliwa yakiwa still operational na yana undergo refurbishing ya nguvu mno.These are second hand disfunctional coaches from Germany. Nobody wanted to board them in Germany and that’s why they were shipped to Tanzania. They are not trains. Do you even know what trains are?
Huna akili, hiyi ni quality na mazingira ya upigaji picha. Hiyo kamba iko kwenye handle ya crane.
Dah, sikuwa nafahamu hilo, hizi ford ni cheaper kulingana na Land Cruiser, ila siyo reliable sana. Hizo kama Land Rover ni Ford Explorer.Mmmh mkuu mbona muda sana wameanza kutumia.
Tena walianza na Ford Everest wakaja na zile Ford zilizokaa kama landrover fulani hivi.
Since 2019 nimeona serikali wakitumia Ford sana sana Ford Everest.
Ipi gari ngumu kati ya Landcruiser na Ford Everest!?Dah, sikuwa nafahamu hilo, hizi ford ni cheaper kulingana na Land cruise, ila siyo reliable sana. Hizo kama Land Rover ni Ford Explorer.
These are backroads in Mwenge Jeshini area.View attachment 3046763
Anaejuwa, ni lini serikali imeanza kutumia magari ya Ford?
Toyota ni ngumu kuharibika kuliko Ford, pia kwa mafundi ni rahisi kutengeneza gari za Toyota (rahisi kuchomoa na kubadilisha parts... mfano alternator, starter n.k)Ipi gari ngumu kati ya Landcruiser na Ford Everest!?
Hao wanaforce kupita hapo sababu inayopitisha watu inaitwa underpass sio culvertKama Ulaya Mwanangu😂😂👇
Culvert ni kama za kuku😂
View attachment 3046744
View attachment 3046745
View attachment 3046747
Gari ya Prof Janabi hiiView attachment 3046763
Anaejuwa, ni lini serikali imeanza kutumia magari ya Ford?
Huyu kichaa wa wapi, banana kuna underpass na ishakamilika kama unabisha nitakuletea picha baadae, unaleta habari za kitambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama Ulaya Mwanangu😂😂👇
Culvert ni kama za kuku😂
View attachment 3046744
View attachment 3046745
View attachment 3046747
Na ishakamilika japo sio kwa 100% lkn watu wanapita ila gari ndiyo hazipiti.Hao wanaforce kupita hapo sababu inayopitisha watu inaitwa underpass sio culvert
View attachment 3046777View attachment 3046778
Installed capacity ya Tanzania was 2400MW before JNHPP now add 705MW plus 29MW from HEP tunayo share na Uganda + Rwanda unapata almost 3200MW.Mpaka sasa kiwango cha umeme tunachozalisha ni 2700+ MW. Kumbe hawa mnbwa walikua wanazalisha MW ngapi vile? 😂😂😂
Soma ratiba ya Treni yenu. Departs Nairobi 0800hrs arrive Mombasa 1400hrs hayo ni masaa mangapi?masaaa 6 umechomoa wapi mqunduni ama? 😬
Hii treni ama jongoo our MGR can do better than that 🤣🤣🤣482÷6 = 80km/h
Kundustan is a backwards nationInstalled capacity ya Tanzania was 2400MW before JNHPP now add 705MW plus 29MW from HEP tunayo share na Uganda + Rwanda unapata almost 3200MW.
Hapo JNHPP bado megawats nyingine 1410MW ambazo mpaka end of the year zikiingia tutakuwa na installed capacity ra 4600MW. Nyangau yao ni 3300MW
Wasikusikie mkuu wako radhi uwatukanie mama zao lakini sio kudhalilisha kenya yao 😁Kundustan is a backwards nation
Hiyo inaitwa patriotic ya kindezi sana. Education system yao ndio imewafanya wawe wajinga no 1 hapa duniani.Wasikusikie mkuu wako radhi uwatukanie mama zao lakini sio kudhalilisha kenya yao 😁
Kajitia kidole mwenyewe 🤣🤣🤣Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrs
Speed = 470/5.1
=92kph
137kph vs 92kph.
Siku nyingi. Tangu Ford Everest box body. Hawa Ford na VW huwa wanawapa serikali gari chache kujaribu kuwashawishi ila serikali wame stick na Toyota. I Idara chache huwa wanatumia gari chache nje ya Toyota.View attachment 3046763
Anaejuwa, ni lini serikali imeanza kutumia magari ya Ford?