ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
3.16b is for two phases ndugu usipate homa burePicha za iliyojengwa na 3.1 ziko wapi?
Nyumba kama hii anaishi mkenya ambae yuko nairobi kwa upande wa tanzania nyumba kama hio ni boma ya nguruwe😀😀😀😀a "dream house" massionette in Dar is slum occupying 90% of the city with some hot jacuzzi
![]()
Down town Nairobi ndugu...Luthuli and Kirinyaga road respectively. Pole sana
Lakin cha ajabu haipo hapa😀😀😀😀DAR nzima ni bonga moja la slum
Weka picha si maandishi mengi.3.16b is for two phases ndugu usipate homa bure
Fisrt phase 300km from dar to morogoro
Second phase 412km from moro to dodoma both financed by the gvt of tanzania😀😀😀😀
Pole kwako kaka pambana na hali yako😀😀Down town Nairobi ndugu...Luthuli and Kirinyaga road respectively. Pole sana
Sawa babaa umeshinda, umefurahi?Pole kwako kaka pambana na hali yako😀😀
Yani serekali ikuoneshe uchi wake😀😀😀Weka picha si maandishi mengi.
Hapa hatushindani tunaeleweshana kuona tulipo na tunapoelekea😀😀😀😀Sawa babaa umeshinda, umefurahi?
Dogo umeambiwa uweke picha ukashindwa ....itabidi ukalale upumzishe akili.umejitoa kijasho sana siku ya leo ukijaribu kuficha uchi wa Tanzania leoHapa hatushindani tunaeleweshana kuona tulipo na tunapoelekea😀😀😀😀
Pesa ya magufuli ndugu😀😀😀😀Dogo umeambiwa uweke picha ukashindwa ....itabidi ukalale upumzishe akili.umejitoa kijasho sana siku ya leo ukijaribu kuficha uchi wa Tanzania leo
Yani serekali ikuoneshe uchi wake😀😀😀
We kweli nduza ushaoneshwa mradi umekua financed by gvt of tz unataka uvuliwe na nguo pia kama huna hoja kapumzike
Mradi hauna picha kwani ni porojo?Yani serekali ikuoneshe uchi wake😀😀😀
We kweli nduza ushaoneshwa mradi umekua financed by gvt of tz unataka uvuliwe na nguo pia kama huna hoja kapumzike
Weka picha hizo ndio facts sio maneno mengi na emojis.Hapa hatushindani tunaeleweshana kuona tulipo na tunapoelekea😀😀😀😀