Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Njia ya treni ina urefu tofauti na barabara kwanza mimi nilikua nimekosea, dar mpaka dodoma makutopora njia kuu ni km 500 na a uchafu mwingine sijataja kuongeza iyo ni main line sasa linganisha na kwenu hukoWatanzania wamepanik mpaka wanalike kila ujinga. Dar to dom via sgr ni 457kms.
Speed = distance/time
=457/3.333
Speed = 137kphView attachment 3046490
Kwa speed ya treni ya kenya, kutoka Dar kwenda Kigoma mnalala njiani 😀 😀😀Wewe ndio ulipost acha ubwege. 😂😂😂 fanya majukumu yako, post tena. Haraka sana.
Ukiambiwa treni inatembea 160km/h average speed usidhani tunacheza kuombolela, dar to Dodoma makutopora 538km km ilhali kwenu huko ni 500 km na bado mnatumia masaa 6Watanzania wamepanik mpaka wanalike kila ujinga. Dar to dom via sgr ni 457kms.
Speed = distance/time
=457/3.333
Speed = 137kph View attachment 3046490
Njia ya treni ina urefu tofauti na barabara kwanza mimi nilikua nimekosea, dar mpaka dodoma makutopora njia kuu ni km 500 na a uchafu mwingine sijataja kuongeza iyo ni main line sasa linganisha na kwenu huko
Watanzania mmechanganyikiwa hamujui nchi yenu. Kutoka Dar es salaam SGR station mpaka Dodoma SGR station ni 457km. Acha wewe kuna mwenzako ichoboy01 alituambia ni 700km. Kuna Kosugi anakuambia kutoka dar to moro via sgr ni 300km. Hamjielewi kabisa 😬😬
umeingia kwenye mfumo karibu😂Kwa speed ya treni ya kenya, kutoka Dar kwenda Kigoma mnalala njiani 😀 😀😀
Yaani wewe nyang’au huoni picha ya gari hapo juu, au gari siku hizi imekuwa treni ya sgr?Watanzania mmechanganyikiwa hamujui nchi yenu. Kutoka Dar es salaam SGR station mpaka Dodoma SGR station ni 457km. Acha wewe kuna mwenzako ichoboy01 alituambia ni 700km. Kuna Kosugi anakuambia kutoka dar to moro via sgr ni 300km. Hamjielewi kabisa 😬😬 View attachment 3046556
Mpaka sasa treni inayokimbiza ni 3rd class na inatumia saa limoja na dakika 40 kufika Morogoro huku ikiwa haiendi speed yake kubwa inavyotakikana due to kusimama kwenye vituo kibao katikati.Kenya trains are faster than Tanzanian trains. That’s the truth na huwezipingana na ukweli.
Kenyan Locomotives are faster than Tanzanian locomotives and EMU.
Kwani wewe unatuona sisi ni vichaa eeh? 😂😂😂 haya nataka ufanye hesabu kama zile ulizofanya kwa train ya Dar-Dom. Here is your train schedule.Huna jipya, ukiwa na content niite.
Tena hapo nimewabeba. Trains are more directYaani wewe nyang’au huoni picha ya gari hapo juu, au gari siku hizi imekuwa treni ya sgr?
Utakua fala we jamaa.Watanzania mmechanganyikiwa hamujui nchi yenu. Kutoka Dar es salaam SGR station mpaka Dodoma SGR station ni 457km. Acha wewe kuna mwenzako ichoboy01 alituambia ni 700km. Kuna Kosugi anakuambia kutoka dar to moro via sgr ni 300km. Hamjielewi kabisa 😬😬 View attachment 3046556
Watanzania mmechanganyikiwa hamujui nchi yenu. Kutoka Dar es salaam SGR station mpaka Dodoma SGR station ni 457km. Acha wewe kuna mwenzako ichoboy01 alituambia ni 700km. Kuna Kosugi anakuambia kutoka dar to moro via sgr ni 300km. Hamjielewi kabisa 😬😬 View attachment 3046556
Sawa tumekubali treni yetu inakimbia kwa speed ya 138km/ h .. 😂😂😂 now kwasababu tunafanya comparison na treni yenu. I want you to tell us the exact speed of Madaraka train from Nairobi-Mombasa, ikiwa hii ndi schedule yasafari 👇🏾Watanzania mmechanganyikiwa hamujui nchi yenu. Kutoka Dar es salaam SGR station mpaka Dodoma SGR station ni 457km. Acha wewe kuna mwenzako ichoboy01 alituambia ni 700km. Kuna Kosugi anakuambia kutoka dar to moro via sgr ni 300km. Hamjielewi kabisa 😬😬 View attachment 3046556
Unalia ukiwa wapi nyang’au?Tena hapo nimewabeba. Trains are more direct
Wao haijafika kilometa 500 umewazidishia AISEE.Ukiambiwa treni inatembea 160km/h average speed usidhani tunacheza kuombolela, dar to Dodoma makutopora 538km km ilhali kwenu huko ni 500 km na bado mnatumia masaa 6View attachment 3046554
Pigania bei ya unga na bread #RutoMustGoSijakula 20hrs nafanya autophagy
Watanzania wamepanik mpaka wanalike kila ujinga. Dar to dom via sgr ni 457kms.
Speed = distance/time
=457/3.333
Speed = 137kph View attachment 3046490
Hayo masaa matatu ni ile 3rd class inayosimama kila kituo hivyo kuifanya isitembee kwa mwendo wake kasi unaotakiwa.View attachment 3046598
Dar to makutopora (Dodoma) sio Dodoma mjini ni 530km ndani ya masaa 3 na nusu nyie mombasa to nairobi km 500 sijui masaa sita bado unataka kujilinganisha
Kaka Nao to Mombasa ni 480kms zimekuaje 500kms???View attachment 3046598
Dar to makutopora (Dodoma) sio Dodoma mjini ni 530km ndani ya masaa 3 na nusu nyie mombasa to nairobi km 500 sijui masaa sita bado unataka kujilinganisha
Kaka Nao to Mombasa ni 480kms zimekuaje 500kms???
Unawazidishiaje urefu hawa jamaa!?
Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrsView attachment 3046598
Dar to makutopora (Dodoma) sio Dodoma mjini ni 530km ndani ya masaa 3 na nusu nyie mombasa to nairobi km 500 sijui masaa sita bado unataka kujilinganisha