President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,618
- 94,211
Mzee unatusumbua. Hivi upo hata na gari hapo home?Dah alooo kuna shida kubwa sana na elimu ya Tanzania.
Unit Time inafaa kuwa in (hours)
20min= 0.333hrs
20/60= 0.333
3.00+ 0.333
Speed= 457/3.333
=137kpH
Childish. Nenda kaandamane na Gen Z wenzako π€£ π€£ π€£ π€£ Unatujazia server
kenyaphobia πππChildish. Nenda kaandamane na Gen Z wenzako π€£ π€£ π€£ π€£ Unatujazia server
What do you mean ? πππ mbona unajitia umuhimu kulazimisha hii comparison yenye ni haipo?
Hesabu ndogo zinakupiga chenga mpaka nimeingiwa na huruma kwako. Jikite kwa picha za chakulaWhat do you mean ? πππ mbona unajitia umuhimu kulazimisha hii comparison yenye ni haipo?
Tulishatoka huko. Ungesema hivyo mwaka 1992. But now you are too late π€£ π€£ π€£kenyaphobia πππ
1992 bongolala ilikuwa mbele ya Kenya. Hii ndio karne yetu kutambaaπTulishatoka huko. Ungesema hivyo mwaka 1992. But now you are too late π€£ π€£ π€£
Kundustan nchi ya hooligans. Jiji la Nairobi halina hata BRT π€£ π€£ π€£1992 bongolala ilikuwa mbele ya Kenya. Hii ndio karne yetu kutambaaπ
Nitajie mchezaji kutoka EA aliyewahi kufunga goli fainali yoyote pale Wembley alafu asijulikane. Wacha utoto.Nobody knows Samantha in EPLππ
dar slum jiji bila commuter rail ππKundustan nchi ya hooligans. Jiji la Nairobi halina hata BRT π€£ π€£ π€£
Hapo umekamata pmbHii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. πππ utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hours
Ukifanfanya hesabu za kujua ni speed gani ilitumika hiyo hesabu itakua hivi
Speed = distance/time
Ambapo ni hii 458km ukigawa na hii 3:20 jibu ni 143.125km/hour
Haya tueleze hii 138km umepata wapi? πππππ
π€£π€£π€£π€£ Hapo umekamata pmb kisawasawa lazima atoe milio kama yote πHii hesabu yako yenyewe uliopiga hapa ni ya ukilaza na uongo. πππ utaacha lini ukilaza wako na uongo? Sasa ikiwa safari nzima inatumia 3:25 hours, ukiondoa dakika tano za kusimama kituo cha morogoro utapata kwamba treni imetumia 3:20 hours
Ukifanfanya hesabu za kujua ni speed gani ilitumika hiyo hesabu itakua hivi
Speed = distance/time
Ambapo ni hii 458km ukigawa na hii 3:20 jibu ni 143.125km/hour
Haya tueleze hii 138km umepata wapi? πππππ
Samantha ndio nani huyo.Nitajie mchezaji kutoka EA aliyewahi kufunga goli fainali yoyote pale Wembley alafu asijulikane. Wacha utoto.