Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti na Dar, Mwanza na Arusha I’m 100% sure other areas in Tanzania hata hawajui what malls are. Hata hawajaiskia the word “mall”.
Nawapea Mabongolala humu challenge. Nionyesheni malls kwa hii miji.
1. Tanga
2. Mbeya
3. Morogoro
 
Kumbe karudi bana. Hii mada haiongelei tena
Hiyo na
Hii hawezi ongelea.
Ingia Google search donate toilets kenya Kisha rudi hapa. 😂😂😂
 
Mark ya nyoko where is trophy na jiangalie vizuri kumuweka kwenye argument ya mdada kisa kaingia brighton kama si ufala.
Mtanzania anajua nini kuhusu trophies?😂😂

1721323187214.jpeg
 
I mentioned Matic. Didn’t I?
Matic usifananishe na huyo matako wako wa kikenya.
Onesha team kubwa tofauti na Tottenham alocheza Wanyama!?
Matic kacheza Chelsea,kacheza man united.
Unafananishaje na huyo kibwengo wako!?
 
Kumbe ni maoni ya mtu mmoja!?
Ni sawa na Alex Ferguson alivyodhani Ronaldo ni bora kuliko Messi kumbe sio ukweli.
Tulete takwimu hapa za magoli na makombe baina ya Wanyama na Matic!?
Kuna mtanzania anajulikana hivo Europe vile Wanyama na Origi wanajulikana?😂😂
 
Back
Top Bottom