Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
Kunyan wanatia aibuCAF approved stadium in Africa mukipata any stadium in Kenya munitag plzπππ wameshindwa hata na Uganda
Ile Azam complex iko hapa ππππ
View attachment 3041234View attachment 3041235
Nishakuwepo moldova,romania,ukraine na bulgaria,hizi nchi zote ukikutana na watu uwa wanaomba,na hasa mtu mweusi kama una muonekano flan wanajua wewe AAOverpay, kadri unavopanua watu wanzidi kutamani by Anna Tibaijuka. Hata mimi na Uafrika wangu kuna nchi nliombwa pesa baada ya kumpa jamaa tip kwenye hotel nliyofikia Asia.
Sio TZ pekee bali ni Africa na pia sio Africa pekee bali pia baadhi ya nchi duniani
Machiniga wanalalamika utafikiri hakuna Machinga complex inaoza! Halafu wabishi kulipa kodi!
Huko Mukuru kwa Njenga ukienda lazma urudi na shombo ya jalala na kunguni woote maana ni full uninformed!Kumbe Nairobi ina maeneo mazuri kama haya na siku zote wanatuonyesha kwa mchina tu π
Machinga wakipewa maeneo wanakataa kwenda,mbezi mwisho kuna barabara nzuri mno lakini aionekani machinga wamejenga juu ya mitaro ya maji na wengine wamesogea hadi barabarani,while pale kwa nyuma kuna soko na eneo kubwa lakini hawapatakiMachiniga wanalalamika utafikiri hakuna Machinga complex inaoza!
Ifike wakati serikali iwakazie! Nchi haiwezi kwenda hivi! Kwanza wanashirikiana na wenye maduka kukwepa kodi!Machinga wakipewa maeneo wanakataa kwenda,mbezi mwisho kuna barabara nzuri mno lakini aionekani machinga wamejenga juu ya mitaro ya maji na wengine wamesogea hadi barabarani,while pale kwa nyuma kuna soko na eneo kubwa lakini hawapataki
Ban ikiisha utakutana na hii. πππThose are just wooden benches. There are no seats thereππ
Ban ikiisha atapatana na surprise yake πππ. Habari ziwafikie Hawa wapuuzi wawili mwaiofhawaii Reborn KtbBan ikiisha utakutana na hii. πππ
View: https://x.com/iamfelixtz/status/1812132117674942560?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Mpumzisheni jamani hamjui kama ban ilishampumzisha πππππBan ikiisha utakutana na hii. πππ
View: https://x.com/iamfelixtz/status/1812132117674942560?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Wanasubiri talanta jua kali Stadium π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£CAF approved stadium in Africa mukipata any stadium in Kenya munitag plzπππ wameshindwa hata na Uganda
Ile Azam complex iko hapa ππππ
View attachment 3041234View attachment 3041235
Na talanta yenyewe wanamtegemea mchina ajenge kwa pesa zake ππππWanasubiri talanta jua kali Stadium π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£