ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,479
- 89,893
Kwani vilivyokamilika havikuanza kazi? Au vilikiwa vimekamilika? Hujiulizi Kwa nini aliruka na kwenda kuanza Cha Mwanza?Hio lot 5 ilishaanza KAZI toka magufuli Yuko hai π π π π π nauliza lot 3, 4 and 6 ziko wapi na mikopo ya kutisha imechukuliwa au KAZI yetu Sisi ni kusifia Tu
View: https://x.com/Hakingowi/status/1347909787418169345?t=bgwj5iWrjqq2ca0-0f0Vlw&s=19
Mm naulizia lot 3, 4 and 6 mzee baba 2 yrs now progress iko wapi??? Tunajisifu hapa tumekopa pesa sawa, haya tuoneshe project ziko wapi?? Zimefikia wapi??Kwani vilivyokamilika havikuanza kazi? Au vilikiwa vimekamilika? Hujiulizi Kwa nini aliruka na kwenda kuanza Cha Mwanza?
Hivyo ndivyo priority zinakwenda.
Kwani ukiambiwa zimekopwa Kwa Ajili ya lots hizo za kwako?Mm naulizia lot 3, 4 and 6 mzee baba 2 yrs now progress iko wapi??? Tunajisifu hapa tumekopa pesa sawa, haya tuoneshe project ziko wapi?? Zimefikia wapi??
Au tuendelee kusifia π π π π π
Nakumbuka mradi wa ujenzi wa hotel eneo la saba saba alilikataa magufuli akasema wakawekeze ktk viwandaAchana na hizi ng'ombe zitashangaa miradi ya BRT ikiisha! Ule mradi wa kujenga hoteli viwanja vya sabasaba uliishia wapi? Maana ungesaidia sana! Kama si Magufuli hii sehemu ingekuwa na hoteli ya at least nyota nne!
Ni huzuni kwa kweli!π π π π π Yani kitu wanajenga hii Barabara inatia Huruma Kaka sijui kama bado watu wanamawazo kua dar by 2030 itakua na watu zaidi ya million 10
Ujinga ujinga tu mnaendeleza, tunakuangalia tunakuona kama chizi mana hakuna asiyejua kama awamu hii inatembelea nyota ya awamu iliyopita, unaposema Tanzania kinara kuuza nyama nje kila mtu anajua sababu ni nini, lkn unapoweka # eti sababu ya mama tunakuona mpuuzi mmoja tu hivi, hizo nyama kama si ndege zilizolazimishwa kununuliwa na Magufuli mngelepeleka na mata.ko yenu? Wacha upumbavu wewe post kitu huna haja ya kuweka siasa humu ndani, sisi tutakubali kwasababu tupo hapa kwa ajili ya Tanzania, wacha utoto.
Ila hiyo barabara ni nyembamba lane sita hazienei! labda wavunje nyumba za pembeni!Buguruni boma road, π π π π
Sijui tunajenga nn hapa
Tuendelee kusifia Tu
View attachment 3039309
Kukopa harusi kulipa matanga π
Ni upuuzi tu unaendelea mkuu, barabara haziishi miezi nenda rudi, huenda zisiishe mpaka 2030, alafu anakuja mpuuzi anaweka jengo moja la hospitali anaweka na # eti Samia kazi iendelee, hawa ******* wachache ni wakupiga risasi.Nilitoka TZ feb hapo bungoni kulikua hivyo hivyo na bado kuko vilevile miezi karibia 5 now π
Mimi nilisema kitambo, nilimuambia mnuka mavi mmoja kwamba haya mashindano hakutakuwa na timu kubwa hata moja ya Tanzania kutokana na kubanwa na ratiba ya timu zetu kubwa, lkn timu ndogo za Tanzania zitashinda haya mashindano kwasababu sisi ni football nation.Imagine best team in Kenya
Hawa wakikutana na kagera sugar sugar wanawanyuka ile mbaya
Ila wakenya wapunguze mudomo kuondoa aibu hiz ndogo ndogo
Mjinga sn huyo fala, miaka nenda rudi hajitambui kasimamia wapi.Kuna mtanzania mwenzangu humu kwenye mada hii natamani nimuweke kwenye ignore list.
Naomba ushauri wenu
Hilo hata ukiliweka ignore list likipigwa ban linakuja na accnt nyingine, hilo ni the most hated member in this platform.Kuna mtanzania mwenzangu humu kwenye mada hii natamani nimuweke kwenye ignore list.
Naomba ushauri wenu
Kwenye hayo yaliyotekelwzwa,Kuna nyota ipi Sasa? Mbona povu la ujinga shida nini? ππUjinga ujinga tu mnaendeleza, tunakuangalia tunakuona kama chizi mana hakuna asiyejua kama awamu hii inatembelea nyota ya awamu iliyopita, unaposema Tanzania kinara kuuza nyama nje kila mtu anajua sababu ni nini, lkn unapoweka # eti sababu ya mama tunakuona mpuuzi mmoja tu hivi, hizo nyama kama si ndege zilizolazimishwa kununuliwa na Magufuli mngelepeleka na mata.ko yenu? Wacha upumbavu wewe post kitu huna haja ya kuweka siasa humu ndani, sisi tutakubali kwasababu tupo hapa kwa ajili ya Tanzania, wacha utoto.
Mzee wa Oil com π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Abdallah Munif huyoπ
Hapo hakuna masuala ya venture capital wala mamaake capital aggregation schemes hela inatoka mfukoni mwa mtu mmoja tuu.
Sio kabisa,ukiisha mgogoro wao wala hawatakuwa marafiki zetu.Hatuna biashara ya maana na Urusi labda mbolea anayotuuzia tu.
Ni kweli ila Sasa lazima tuendelee na sera yetu ya unafiki( kutofungamana na upande wowote).Haya mambo ya Urusi wakati huu
Sio kabisa,ukiisha mgogoro wao wala hawatakuwa marafiki zetu.Hatuna biashara ya maana na Urusi labda mbolea anayotuuzia tu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwani ukiambiwa zimekopwa Kwa Ajili ya lots hizo za kwako?