President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,223
Wewe 24/7 upo hapa JF upo na account more than 20 π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Lakini mzee nakupa kongole kwa kufanya multitasking, how many hours do you spend in a day behind the screen.
wenzako wameanza kulia. Na hapo bado zijaanza nikianza. Mtaifunga KT π€£π€£π€£πππLakini mzee nakupa kongole kwa kufanya multitasking, how many hours do you spend in a day behind the screen.
Umekula bibie?Mikumi national park siku hizi you can do a day game drive from Dar.
Jamaa ana appetite kama mama mjamzito π¬π¬Mzee wa Milo tano ya kuomba.ππ
Ebu turushie picha za bibi titi πππwenzako wameanza kulia. Na hapo bado zijaanza nikianza. Mtaifunga KT π€£π€£π€£πππ
View attachment 3037542
Nimewaambia wenzako huko KT I don't deal with trivial issues, I deal with intelligent things. so Tafuta mtu wa kujadiliana naye mambo hayo.Ebu turushie picha za bibi titi πππ
Bible Rhaenyra Targaryen yupo jamani nisipomsikia huwa nakosa furaha πMzee wa Milo tano ya kuomba.ππ
Unatafuta basha kijana unataka kuzibuliwa mtaro?Umekula bibie?
Itβs ok β¦ we got Amahoro stadium in Rwandaβ¦that means total 6 stadiums already available ( Kenya has 3 )β¦ so thanks for your timeβ¦ goodbye and donβt let the door hit you on your way out ..ππCAF wakithibitisha hili, itabidi tuwaachie wakunya waandae peke yao.
Hzo tatu Kenya ziko wapi??π π π πItβs ok β¦ we got Amahoro stadium in Rwandaβ¦that means total 6 stadiums already available ( Kenya has 3 )β¦ so thanks for your timeβ¦ goodbye and donβt let the door hit you on your way out ..ππ
Hawa ******* Hersi Said toka lini akawa Mkenya!?
Arusha ina wazungu kama wote ambao wanafurahia mazingira kiasi wengine wameamua kubaki na kuendesha maisha hapo hapo Arusha.Umekula kwanza View attachment 3037477
Kwa akili zako unadhani huyo jamaa ana njaa!?Ningekuwa na uwezo ningetengeza hii iwe billboard kubwa alafu tuiweke pale JNIA na caption ya Do not feed the animals π¬ππππView attachment 3037526
Hata kama inaendesha kwa pesa za mkopo kazi inaonekana na bado atujafikia kwenye nchi zenye madeni makubwa,kunyan tuonyesheni mradi ambao mnaweza kusema pesa yote mliyokopa labda ipo kwenye huo mradiHivi mradi wenu upi uko fully funded by the government? Mmezoea kudanganywa kama mlivyodanganywa SGR ni fully funded by the government. Miradi yote mnayojichocha nayo humu ni either loans ama misaada. Mmelala fofofo matatizo tunayoyapinga huku kwa maandamano yapo kwenu hata zaidi alafu mnajiona wajanja? Afrika nzima imeona ujasiri wetu inajaribu kuiga nyinyi mko hapo na chuki zenu eti hamuwezi andamana juu hamna njaa. Yule mzungu Yves anawaumbua kule YouTube tunaona heri kwetu kuna nafuu kuliko huko kwenu na bado mnajiaminisha eti hamuandamani kisa mnajitosheleza? Tumeona nchi Tajiri kama Marekani kwenye uchumi wa kitown kidogo huko kama Austin chenye idadi ya watu laki tisa pekee umeshinda uchumi wa Tanzania nzima lakini bado wanaenda maandamano kisa high cost of living alafu nyie mko huko ombaomba hadi mnawakera wageni nchini mwenu na mmeexport hao ombaomba nchi jirani alafu bado mnajikenua eti hamuandamani kisa mko na land of milk and honey? Wajinga nyinyi.
Chakula shida kule LDC
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππView attachment 3037468
Hivi tuamini maneno yako hewa ama tunachoona na kuskia?πKwa akili zako unadhani huyo jamaa ana njaa!?
Tanzania ni watu wa mzaha ila Kigoma hakuna sehemu kuna njaa mzee.