Ni kweli kinahitajika kipimo kingine kizuriSawa, ila ukumbuke sio wote wanafanya kilimo cha biashara, wengine wapo busy kulima na sehemu kubwa inatumika kulisha familia. So, ni vitu vichache sana wananunua mfano viungo vya chakula na pesa wanaipata kwa kuuza maziwa na sehemu ndogo ya walichovuna. Kama barter trade hivi
So, kile walichotumia kulishia familia kutoka shambani sidhani kama kinakua tracked ipasavyo
Hapo nyuma tuu mkuu usiniwekee maneno mdomoni sitaki ugomvi na mtu 😁Kipindi cha Mzee Magu?
Kawaida kutuwaza ni kipawa chenu.
Hivi bado kuna mkenya analinganisha SGR (treni) yao na yetu? Kama yupo anyooshe kidole juu nimuulize swali.
Wakati kunya wako 500k per year 🤣🤣🤣When Dom route starts sioni ajabu wakifikisha abiria 250k per month.
Una uhakika gani kama hawatoongezeka!?Wakati kunya wako 500k per year 🤣🤣🤣
Kama Dar-moro wako 40k na mwezi haujaisha bado, hata kama ikibaki hapo hapo at 40k bado kwa mwaka ni 480k
Waanze kuweka mikakati ya kuwatunza wazee wengi, maana wataendelea kuishi kwa miaka mingi, hasa ukizingatia hichi kizazi cha under 25 wako wengi balaa. Nani atawalipia mafao?
Wakenya wengine wazuri ila dah shida makomwe makubwaaa.Mkundustan apagawa na uzuri wa Tanzania,atamani abakie huku huku 😂😂👇👇
View: https://youtu.be/jlorSqQ3M88?si=mHkIYT7fSBHiZGX2
Yaani mama kapeleka Dreamliner letu Korea kuwapatia wasanii mchongo wa muvi badala ya kupeleka computer engineers wapate ujuzi wa kutengeneza ICs? Kweli akili ni watu.