Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,156
- 107,724
Kasema treni zao zinatembea 99km/h!Ila kuna Tahira humu anadai kuwa chuma inatembea 200kph wakati aliyekuweko kwenye cabinet meeting iliyopitisha mradi wa SGR anasema treni ina uwezo wa 164kph ila reli ndio shida sasa.
Waongeze speed tuone bolts and nuts zinavyoruka toka kwa reli 🤣🤣🤣Sasa kama wana rickety railway wataongezaje speed? Labda Lewis254 ana jibu!
Aki mchina mwizi anajua kucheza na psychology ya hawa nyangau anaongeza comfortabllity kidogo to mask a below par infrastructure.
Aloo, mabingwa wa vitu low standard, waliona render ya interchange ya Ethiopia nao wakaiga, kosa walilofanya ni kuwapa mafundi wa kikenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha utoto.Cheki viatu 🤣 🤣
Kenyans wakikohoa tu, all Afrika is in panic!! Ona sasa Nigeria!!! Suluhu wanahangaika, Museveni Is trembling, South Africans are worried.