Halafu baada ya hio renovation bado unakuwa uwanja wa CCM?Kirumba stadium to be renovated 50bn set aside.
Govt allocates 50bn/- for Kirumba Stadium renovation - Daily News
THE government has allocated 50bn/- for renovation of CCM Kirumba Stadium, in preparation for AFCON finals in 2027dailynews.co.tz
By 2027 Kila kitu Kitakuwa tayari hasa hiyo section ya Mwanza-Isakasasa wahakikishe SGR na airport vimekamilika pia!
Source please,naona unaishusha Tanzania.Suala la gdp 2023
Kwa africa nanba moja hadi kumi
1.Egypt gdp $395B
2.South Africa $377B
3.Nigeria $362
4.Algeria $239B
5.Ethiopia $162B
6.Morocco $141B
7.Sudan $109B
8.Kenya $107B
9.Angola $84B
10.Tanzania $79B
Nme note Ethiopia Wamepanda hadi sio vizuri sijajua wamefanya nn
Kama kawa kama dawa 🤣🤣Halafu baada ya hio renovation bado unakuwa uwanja wa CCM?
Jirani roho itamuuma maana atashindwa ku-claim gari za Japan hutoka Mombasa!
Hiki kipande cha Makutupora to Isaka kinaweza kuisha in 3years ?.Je Yapi wako sitesasa wahakikishe SGR na airport vimekamilika pia!
Mwanza to Isaka itakuwa imeisha , je Makutupora to Isaka ?By 2027 Kila kitu Kitakuwa tayari hasa hiyo section ya Mwanza-Isaka
Makutupora to Isaka or Tabora to Isaka!?Mwanza to Isaka itakuwa imeisha , je Makutupora to Isaka ?
No moshi at all, alafu huyo mbwa analeta picha eti bichwa la ng'ombe halitoi moshi, uliona wapi? Picha imepigwa bichwa likiwa limesimama eti "halitoi moshi" tubaki humu 👇 👇 🤣 🤣 🤣tutolee mtambo wako wa chang'aa hapa,angalia joka hapo chini 👇 uzidi kuumia kwa wivu
Makutupora to Isaka or Tabora to Isaka!?
Maana reli si imefika Tabora?
Reli haijafika Taboea kaka, reli imeishia Makutupora kuna kipande cha Makutupora to Tabora 294km na Tabora to Isaka 130km ,amabvyo walipewa yapi ila sijaona updates za ujenziMakutupora to Isaka or Tabora to Isaka!?
Maana reli si imefika Tabora?
Kwa kunya hiyo ni world of art mall