Huo sio ushamba bro.Jambo la kukosa tickets sio kitu unique kijana huu wenu ni ushamba wa first time,
huwezi pata ticket ya Msa Nbo ya kesho manake tayari iko fully booked. You must book 2days prior
Either way nimependa hii conversation mmeanza manake baadae ndio tutatumia kuwakaanga.
Full booked wapi mkuu.? 🤣🤣 report zinasema in the first two weeks of our SGR operation abiria 40k walisafiri while kwa wiki ya kwanza huko kunyaland walisafiri abiria 7k (hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikua na shauku ya kupanda train mpya), let's assume namba ziliongezeka kutoka 7k-10k passengers.Jambo la kukosa tickets sio kitu unique kijana huu wenu ni ushamba wa first time,
huwezi pata ticket ya Msa Nbo ya kesho manake tayari iko fully booked. You must book 2days prior
Either way nimependa hii conversation mmeanza manake baadae ndio tutatumia kuwakaanga.
Nawaombea waendelee kuichoma nchi yao kwa bidii na ustadi wa hali ya juu😎😎😎
Jamaa kanifurahisha sana aiseee.Full booked wapi mkuu.? 🤣🤣 report zinasema in the first two weeks of our SGR operation abiria 40k walisafiri while kwa wiki ya kwanza huko kunyaland walisafiri abiria 7k (hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikua na shauku ya kupanda train mpya), let's assume namba ziliongezeka kutoka 7k-10k passengers.
Tufanye heaabu
Abiria 7k (1st wk) +10k(2nd wk) =17k
Hii inaonyesha kwamba idadi ya wasafiri Nairobi-Mombasa (the busiest route) ni kulinganisha na odadi ya wasafiri Dar-Moro, yenye ni route ya kawaida tu, 🤣🤣🤣🤣
Nyie ni maskini sana, pesa ya kusafiri pia hamna.
The onus is on you. Aren't you the one trying to prove the point?Lete takwimu hapa.
Maana sisi wiki hiyo hiyo ya kwanza abiria walikua wengi kiasi wengine walikosa nafasi ya treni.
Na wiki hiyo hiyo ya kwanza abiria walilalamika kuwa safari ziongezwe.
Sabotage sidhani kama itatokea kiwepesi hivyo.Wasi wasi wangu ni sabotage, tumeona kwenye pantoni.
Kwa hiyo mimi ndio natakiwa nilete takwimu na sio wewe!?The onus is on you. Aren't you the one trying to prove the point?
Wewe kijidemu kipumbavu . Sasa ikiwa wiki ya kwanza SGR yenu walipanda abiria 7k, unadhani kwa wiki ya pili wangefika wangapi, ili wafike at least 20k passengers kwa wiki mbili za kwanza.? 🤣🤣🤣The onus is on you. Aren't you the one trying to prove the point?
Sawa.Kwa hiyo mimi ndio natakiwa nilete takwimu na sio wewe!?
Aya subiri nizitafute.
Wakati mwingine nawaza Magu angekuwepo, kwa ile kasi yake tungekuwa wapi sasa, maana order ya hizi zinazokuja sasa, alizifanya yeye toka 2020. Wakati huo kuna order za ndege, bwawa, madaraja, sijui masoko, barabara...dah acheni aisee. Unaweza kudhani ni hadithi za alinacha.
Jamaa alisema angajenga nyumba 10k Dar alone.. alisema pia kipaumbele chake ni kujenga Dodoma stadia kwa mwaka wa kwanza tu akirejea madarakani. Yaani mpaka sasa tungekya na uwanja mpya already. Hii Dar ingekua yamoto mno.Wakati mwingine nawaza Magu angekuwepo, kwa ile kasi yake tungekuwa wapi sasa, maana order ya hizi zinazokuja sasa, alizifanya yeye toka 2020. Wakati huo kuna order za ndege, bwawa, madaraja, sijui masoko, barabara...dah acheni aisee. Unaweza kudhani ni hadithi za alinacha.
Watanzania wengi wanajiweza, tatizo hatukusanyi mapato na takwimu vizuri. Njia pekee ya kupata picha ya hali halisi ndiyo kama hivi. Watu wananunua tiketi mpaka wanakosa nafasi.Full booked wapi mkuu.? 🤣🤣 report zinasema in the first two weeks of our SGR operation abiria 40k walisafiri while kwa wiki ya kwanza huko kunyaland walisafiri abiria 7k (hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikua na shauku ya kupanda train mpya), let's assume namba ziliongezeka kutoka 7k-10k passengers.
Tufanye heaabu
Abiria 7k (1st wk) +10k(2nd wk) =17k
Hii inaonyesha kwamba idadi ya wasafiri Nairobi-Mombasa (the busiest route) ni kulinganisha na odadi ya wasafiri Dar-Moro, yenye ni route ya kawaida tu, 🤣🤣🤣🤣
Nyie ni maskini sana, pesa ya kusafiri pia hamna.
Unachosema ni kweli ila kumbuka pesa mwana haramu.Sabotage sidhani kama itatokea kiwepesi hivyo.
Maana vivuko na reli haviwiani ukubwa wala umuhimu kaka.
Reli ni shirika pana sana mkuu.
Huyu ni Faiza Ali?
Afrika bila kuwa na viongozi wenye roho ngumu kama Qaddafi na Magufuli hatutoki. Nayemuona kwasasa ambaye anaonekana kushika kijiti ni yule jamaa wa Burkina Faso.Jamaa alisema angajenga nyumba 10k Dar alone.. alisema pia kipaumbele chake ni kujenga Dodoma stadia kwa mwaka wa kwanza tu akirejea madarakani. Yaani mpaka sasa tungekya na uwanja mpya already. Hii Dar ingekua yamoto mno.
Wivu utawauwa ndugu zetu, muwe mnafurahi wengine wakishinda. Mbona mimi ni Simba dam dam lakini nakubali Yanga kwa sasa wako vizuri?