Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Hayajui hayo, yani kiufupi sisi huko kwenye masuala ya mobile money wala hawatuwezi kamwe, kwasababu almost every single Tanzanian (except watoto wachanga) anatumia huduma hizo tena kuna mitandao kibao, wao wako hapa kutupigia kelele na Mpesa..Halafu kule kwao ni kama wamekariri mpesa tu. πππ
Wakati Tanzania kuna,
Tigopesa
T-Pesa
Easy pesa
Halo pesa
Airtel money
Azam pesa
Bidada weye huyu?
Nasikia mnafanya maandamano yenyu kwa Kiingereza ati; ha ha ha wapuuzi nyie nyang'auππHata sikuwa nimenotice, next time nitaweka maelezo kwa Kiswahili hizi ngamia zielewe. ππ
Ww huoni kama ujenzi unaendelea hapo?π Au unafkiri ndio tumemalizaWanasema barabara safi mimi naona vumbi. π€£ π€£ π€£
View attachment 3032324
Hilo jamaa nilibishi, uongo, mixer uzuzu. π€£π€£π€£Ww huoni kama ujenzi unaendelea hapo?π Au unafkiri ndio tumemaliza
Hapana, huyo ni maarufu sana mitandao ya kijamii, anaitwa Sharifa Mpemba na yupo New York, USA.Bidada weye huyu?
Chuma inahitaji overhaul hii π€£π€£π€£
Na bado zitaendelea kuja tuu. Na mzigo wa behewa 1500 za mizigo nao utakuja soonGazeti la Kundustan linaandika huku ndaniwanaumia Kwa wivu πππππ
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1808406288881033353?t=atOyQO8-YU8NYak87s9YRQ&s=19
Zipo Seti 10 kwa sasa zimefika tatu bado saba. Kwa awamu ya kwanzaNa bado zitaendelea kuja tuu. Na mzigo wa behewa 1500 za mizigo nao utakuja soon
Kwa upande wangu tungewakaanga watumie hiyo route yao ili route ya centra ipate mizigo zaidi na kuikaanga Mombasa Port .Ona wanavyo tap tapa, si walijifanya wajanja na hiyo northern corridor. Sasa wanataka kujikomba kuingia na mlango wa nyuma.
Na Sisi hatuna hiyana, tutawaruhusu, watatulipa, watu wetu kwenye hiyo miji watafaidika, watalipa mizani, pesa zetu zitaongezeka!!
Northern Corridor states push for shorter Tanzania freights route
The secretariat Northern Corridor Transit and Coordination Authority (NCTTCA) tasked to initiate talks with Tanzania over the proposal.www.theeastafrican.co.ke
Huyu ni muongo kama ZakayoπHaya meza haya matapishi yako mpumbavu wewe π€£π€£π€£π€£
Uongo mixer ubishi, chizi wewe.
Tunaanza kulitumia 30th December 2024Daraja refu zaidi Africa mashariki tayari limeshaanza kutoa taswira yake. πView attachment 3032368View attachment 3032369View attachment 3032370View attachment 3032371the longest cable stayed bridge in the region. 3.2 km long. CC The best 007 njoo uwasumbue mkuu. π€£π€£
Na bado mpaka nyote mtasema, Tanzania sio Kenya, kati mchina kajenga xpress way pembeni vumbi mpaka kesho π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wanasema barabara safi mimi naona vumbi. π€£ π€£ π€£
View attachment 3032324
Wahuni wameshaivunja nini? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Mbwa wamekula dawa zote kwa mara sasa hivi wote ni vichaa wanarudishana nyuma kwenye umasikini kwa kuharibiana mali na Biashara.
#Daily dose gone bad πππππ
Tulimkosea nn MUNGU Sisi wakenyaπππMbwa wamekula dawa zote kwa mara sasa hivi wote ni vichaa wanarudishana nyuma kwenye umasikini kwa kuharibiana mali na Biashara.
#Daily dose gone bad πππππ