Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kima hii huduma ipo Tanzania miaka mingi sana ishapita, sikutegemea uongee hv, wallahi tumewaacha mbali sana.
 
Mbona Majaliwa juzi kasema usafiri kwa watu wa kawaika kwenye joka utakua ni 50k Dar-Dom.?
 
Naomba mtu aweke ile picha yuko na babaake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kazi ipo.
 
What does GMO stand for? Genetically modified organisms. Seafood or fish aren't organisms? Their DNA can not be modified?
Wacha nikuulize swali, ushawai kula GMO octopus? Ushawai kula GMO shrimp? Ushawai kula GMO squid? Alafu hivi, mwenzako amepigwa za uso akapostiwa seafood ya Tshs. 80k baada ya kumsema mwengine eti hana hela ya chakula na hapo jibu lake ni hiyo seafood ni GMO, huoni kama hiyo ni sour grapes incident? Mbona hujamkashifu kwamba sungura kakosa mizabibu kasema chungu? Jiulize hayo maswali utaona unafiki wako ulipo. Sio lazima unijibu ila najua utauona unafiki wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…