ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,877
Mbona uliweka bendera ya Tz?Fool naongelea finance bill kenya
Wakat huo huo Mombasa haina 5star hotel wala Kisumu ππππππ
Ukiona za Kenya utajidharau sana.Tanzania haiwezi kuwa na mapunguani kama hayo yenu yasiyojua yanachofanya ndio maana wame ya set π₯π₯π₯π₯ eti saizi yanaomba msamaha ππππ
Bunge la Tanzania Lina sifa zifuatazo ππView attachment 3028622
Ziko wapi? Weka hapa tuzione maana tunazozijua ni za Hawa mazombi hapa πππππUkiona za Kenya utajidharau sana.
Fanya research utajionea. Nimeangalia yenu nikacheka.Ziko wapi? Weka hapa tuzione maana tunazozijua ni za Hawa mazombi hapa πππππ
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1806723272106455339?t=AyAnYrBIZWKrD1CpisQ6HA&s=19
Weka hapa,nilichojionea ni hiki hapa ππFanya research utajionea. Nimeangalia yenu nikacheka.
Sawa.Weka hapa,nilichojionea ni hiki hapa ππ
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1806723272106455339?t=AyAnYrBIZWKrD1CpisQ6HA&s=19
ππππππSawa.
He is South African you idiot.Ni baada ya yule trainer wenu mwenye rasa kuja Bongo!
View: https://youtu.be/x5xqJFfHnqo?si=nuK7zZctphKo_M0Y
Kumbe currency value inakuwanga muhimu hivi. Ikidorora ndio mnakumbuka, ikipanda mnasema haina umuhimu. Hypocrites. π€£ π€£ π€£Uzuri hii migomo inarudisha Kshs kulekule saahii utalii umedorora wageni wametoroka na uzalishaji umesimama!