Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,123
- 32,973
Halafu huo wimbo sasaππWatakuambia eti maandamano ya Gen Z hayakua ya kikabila, ona hapo baada ya kumuondoa Ruto wameliacha bango lenye wa kabila lao utafikiri kwenye hiyo bill hawahusiki, Kunyaland ni ukabila mtupu
Mbn render na uhalisia havifanani? Naona udongo mtupu, btw, je hii itapunguza makali ya kodi?Rio appartments 22flrs Γ2, MombasaView attachment 3028550
Km 160 zimegeuzwa kuwa km 300 na Mkundustan πππ desperation is realAfter 300km of suffering Kino amefurahi kuona lami vumbistan.πView attachment 3028538View attachment 3028539View attachment 3028540View attachment 3028541View attachment 3028542View attachment 3028543
160km ni nyingi Sana πKm 160 zimegeuzwa kuwa km 300 na Mkundustan πππ desperation is real View attachment 3028594View attachment 3028595View attachment 3028596
Kodi ilioondolewa πππππΉπΏMbn render na uhalisia havifanani? Naona udongo mtupu, btw, je hii itapunguza makali ya kodi?
We ng'ombe kweli, katika kilometers almost 800 kuwa na kipande kidogo cha kilometers 160 zilizopo under construction unasema ni nyingi? Ulitaka barabara yote ijengwe overnight iishie kuwa na potholes kama zenu, angalia quality ya barabara za lami Tanzania ulinganishe na uchafu wenu, from Mpanda to Tunduma hatakanyaga tope tena ni carpet mpaka Zambia160km ni nyingi Sana π
Ni nyinyi pekee mnaoabudu viongozi wenu. Huku criticism huwa kila siku na haijaanza na hii finance bill.
Tanzania haiwezi kuwa na mapunguani kama hayo yenu yasiyojua yanachofanya ndio maana wame ya set π₯π₯π₯π₯ eti saizi yanaomba msamaha ππππHawa hata hawajui finance bill ni nini. Wameiskia mara ya kwanza na haya maandamano ya Kenya. Hawa wapo wapo tu kama vifaranga kiotani, kila waletewacho watafungua tu midomo kukibugia. π€£ π€£ π€£ π€£
IMF wanataka pesa yao hawana masihara πππππ mtamuua Ruto nyie IMFπππ
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1806529884690251832?t=9ZmeyjCg5h9bToVI141F8Q&s=19
Rio appartments 22flrs Γ2, MombasaView attachment 3028550
Mbons hizi majengo mbili hazijengwi tena mkuu.. I've seen their pictures long time ago. πππSheheena marina 22flrsView attachment 3028565View attachment 3028599
ila mbona escalator haitengenezwi? Tatizo nn?Yaani kama Dar mpaka Moro tu kunakua na nyomi kubwa hivi la abiria, vipi kuhusu Dar to Dom, Dar to Mwanza je? Vipi Dar to Kigoma? Tanzania to Burundi itakuaje? Tanzania to DRC je? Ni balaa
Kawaida railway business hubreakeven kwa kupitia mizigo freights mostly lakini inaweza Tanzania kuweka historia passengers volume ikafanya project kubreakeven
View: https://youtu.be/nynHfVye0SM?si=2lDiemGsjyhwruBU
Umepanic, nilikuambia dar slum ni meffi πππMbons hizi majengo mbili hazijengwi tena mkuu.. I've seen their pictures long time ago. πππ
Hiyo nauli ya 50k ni mpaka Makutupora mwisho wa phase 2.