Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una uhakika haongelei GDP, ebu muite hapa aseme anaongelea nini. Musituchafulie kiswahili na kisukuma.
Original Description:- 👇 👇 👇 👇

Nchi imefeli kwenye kila Jambo dunia inawatandika bakora SASA mulizoea kudanganya GDP sijui budget kumbe kila kitu ni fake KAZI kupika data, haya kiko wapi SASA😂😂

Eti USA ya Africa

Nenda kapitie somo la Uchanganuzi wa Sentensi Watoto wa Primary wanafanya hivyo hapa Tanzania

 
Waache wao waendelee kupigana bakora sisi huku tunapiga hela.
 
Sasa wewe unataka tuandike unavyotaka wewe eti anza na neno GDP why? Sentesi anatunga msemaji sio msikilizaji.
 
Kwa hii elimu yako ya kiswahili, ukifika bongo itakubidi urudie darasa la nne mzee. 😂😂😂 nenda katafute vitabu vya darasa la nne Tz , usome mada inaitwa Upatanisho wa kisarufi. 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…