Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Sasa badala ya kutumia kile kitu ametumia GDP. Ile GDP mliokuwa mnajivunia iko wapi. It is that simpleKile kitu mlichokuwa mnajivunia kiko wapi? It is that simple.
Sasa badala ya kutumia kile kitu ametumia GDP. Ile GDP mliokuwa mnajivunia iko wapi. It is that simpleKile kitu mlichokuwa mnajivunia kiko wapi? It is that simple.
Maneno matupu.Kwa hii elimu yako ya kiswahili, ukifika bongo itakubidi urudie darasa la nne mzee. 😂😂😂 nenda katafute vitabu vya darasa la nne Tz , usome mada inaitwa Upatanisho wa kisarufi. 😂😂
Ubishi wa kipumbavu.Sasa badala ya kutumia kile kitu ametumia GDP. Ile GDP mliokuwa mnajivunia iko wapi. It is that simple
Chuo cha Kilimo Butiama mwakani 2025 mwezi wa saba kitakuwa tayari na wanafunzi wataweza kuingia mwakani mwezi wa 10
View: https://youtu.be/Jart0ibGndo?si=-YMCUHNS2yY2x2NO
Dar to mwanza 1200kmHii chuma itawahi kufika Mwanza kabla ya Ile ngalangala halijafika Mombasa 🤣🤣🤣
Ww unanifundisha mm Kiswahili ??🤣🤣🤣Kiko ❌
Iko✔️
Hujui Kiswahili wewe nyang’au. Acha kuendekeza ubishi wa kitoto🙂Sasa badala ya kutumia kile kitu ametumia GDP. Ile GDP mliokuwa mnajivunia iko wapi. It is that simple
Kuleni chuma icho kinawahi Morogoro spidi 160
View: https://www.instagram.com/reel/C8q7ePcKX5X/?igsh=MWJkMXJscWk1MWU5cw==