Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee dunia kwa sasa ni kijiji. Huwezi kusafisha mavi.
 
#Rutomustgo.
 
Nyie ❌

Ninyiβœ”οΈ
Hebu ondoa upumbavu wako hapa kijana. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kiswahili kinazungumzwa kwa ladha. Huwezi kuandika au kuzungumza lugha kama unajibu mtihani. Ndio kubobea na kutopea kwenye lugha hivyo kijana wangu.

Wewe bado unahangaika na basics mimi nimetopea kwenye lugha ya kiswahili.
 
Mtanganyika wa mwanza na kiswahili wapi na wapi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Husler anaulizia... Kama finance bill haita work... Mambo ya Wakunya ayaoeleke vipi?

Naona dereva chombo kimemshindaa.. Alale nayo tuu🀣🀣🀣🀣

View attachment 3026936
Hawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe toa upumbavu hapa,VO wenu mvuta bangi ameongea na kusema alimshauri vibaya huyo Rais wenu kilaza.

Achana na Clip,Ruto hana uwezo wa kumtoa huyo Mkuu wa Usalama Kwa sababu ni Rais kivuli yaani mateka hana Nguvu za maamuzi.

Kenya ni Nchi ya kipumbavu sana
 
Hii ndio sababu si jadili na watu wenye elimu ya multiple choices.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…