Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marehemu mwenye PhD alisema papai lina corona. Elimu za multiple choices.
Hiyo issue ni outdated tulishahama miaka zaidi ya 3 sasa. Bado unaishi kwenye past? 🀣 🀣 🀣 🀣

Soma kitabu kunaitwa Who Moved My Cheese? utajifunza mengi kuhusu namna ya kufanya changes haraka na kuachana na past.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…