Nenda kaandike huu upupu jukwaa la siasa alafu uone.Unatafuta kutugawa π€£π€£π€£ jaribu tena
Wafunge hata mwaka,njaa itawarudisha sokoni.Mbeya kwa kina ChoiceVariable wanakinukisha. #RejectCCM
View: https://twitter.com/Twaha_Mwaipaya/status/1805517635246780684?t=l5qdEfInmoNXwUzOLgMopA&s=19
Mama awe makini Sana na mawaziri wafuatao, mwigulu nchemba, makamba, napeWafunge hata mwaka,njaa itawarudisha sokoni.
My Take: Ila Kundustan mna Hali mbaya,Sasa mtafanyaje na finance bill imeshindikana,mnaharisha Madeni na ugumu wa Maisha? ππ
Hii nchi ni ya ajabu sana. π€£ π€£ π€£ π€£ Huku Rais anamlaumu Mkuu wa Police kutofanya kazi ipaswavyo. Msaidizi wa Rais anamkingia kifua mkuu wa Police na kumlaumu mkuu wa National Intelligence Security Services.Wako incompetent kwenye kila idara ni ghetto state, kiongozi wa department kama sio kabila lako utapambana na hali yako
View: https://youtu.be/Eemh_SM9Yw8?si=vOwnjfpNkpmgonbE
Virtual people π€£ π€£ π€£ π€£ Hebu mwambie ajaribu kunyanyua matako yake aingie public kama wananchi hawajazaa nae. Wazanzibar wanajua namna baba yake alivyofanya mambo ya ajabu. Ataishia kupiga umbea kwenye Social Media ili apate pesa za wafadhili.
Hatuendeshwi na Kundustan wewe kima.Mwigulu ameingia baridi, ongezeni presha kwa CCM
View: https://twitter.com/lwaitama1/status/1805970729483309443?t=MYOceNmFmY81p2EpM4sxxA&s=19
Habari hujapata tumelipa last installment ya deni la Eurobond.??Wafunge hata mwaka,njaa itawarudisha sokoni.
My Take: Ila Kundustan mna Hali mbaya,Sasa mtafanyaje na finance bill imeshindikana,mnaharisha Madeni na ugumu wa Maisha? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/C8rr2DJqvFk/?igsh=MXFocG1wbjRodGRn
Nyie mna Nuka Madeni ,over 70% ni Madeni ,ni miradi ya Maendeleo no utengamano,njaa yaani karibu mtuletee wakimbizi na tuje kuwasukuhisha tena ππHabari hujapata tumelipa last installment ya deni la Eurobond.??
Hii imeenda. Bunge la Tanzania limekamilisha kazi yake. Sasa tunataka Sheria ya kodi iandikwe upya tuachane na mambo ya utashi wa viongozi na Manyanyaso ya TRA.
Taking loan from Hamis to pay John πππHabari hujapata tumelipa last installment ya deni la Eurobond.??