Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu anaongea ukweli mtupu yaani hamna rangi wataacha ona, wakubali tu kukamuliwa for at least 5 years yote pesa iende ikalipe deni walilochukua kujenga brt ya lipstick πŸ’„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unataka wapite sehemu Ya nn ??
Hio reli inashida gani hebu tueleze 🀣🀣🀣🀣
 
Kuhusu maisha wote hali mbaya tuu.
Ila mimi nazungumzia kuhusu ujinga.

Mostly ya Watanzania ni wa wajinga kuliko wakenya , hii msikatea.
Mimi mwenyewe mbongo pure.
Acha upumbavu wewe wakunya ni wajinga kuliko watanzania. Wangekuwa wanaakili wasingeacha watu wachache wamiliki ardhi na pia kukubali kuishi kwenye slums.
Na pia kwa ujinga wao hupiga kura za kikabila ambazo ndio huwaletea haya matatizo yote.
Hata treni ya sgr mmelipa hela nyingi kuliko uhalisia mnaibiwa left right centre huku mnaona kama sio ujinga ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…