Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nchi ilishakufa zamani Sana haya ndio madhara ya kudanganya dunia kwamba umeshiba kumbe unakufa njaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hapo kosa ni vyombo vya dola kutokuweka ulinzi wa kutosha kulizunguka bunge..
Ni aibu sana, Bunge ni mhimili, bunge ni ni kama Ikulu...
Hii ni aibu aisee..

Sasa hapo askari wataanza kuua watu.
 
Back
Top Bottom