Wakati serikali nzima ya Kenya haina hata senti moja ya kutekeleza mradi wowote nchini mwao hata uwe mradi mdogo vipi lakini serikali ya Tanzania inajenga kenya tena kwa hela za bongo. Hawa mafala tunawajengea nchi yao halafu wanakosa adabu tupewe heshima yetu tafadhali.
Teargas βοΈβοΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi unajua Nairobi Kuna Majengo karibu kumi 30floors and above ambayo yako under construction ?20+ floors Ata usiguze uko,,, Hii 22 floor yenu mnapayuka uku ni kitu ChΓ‘ kawaida sana Nairobi.
Open access ya reli sio sawa na kubinafsisha shirika ile ya wahindi ilikuwa ni kubinafsisha shirika ila hii ya open access TRC ana trains zake na wewe ukiwa na uwezo unaweka train zako ili kuleta ufanisi na ushindani mzuri na pia kuvutia wateja wengi maana operators watakuwa wakishindana kuvutia wateja.Ww unadharau maoni yake inaweza kua ina mashiko pia, kwa umesahau wahindi walipewa reli kuendesha je waliifikisha wap?
Uzuri hata CAG wao alishawaambia kuwa hii ni rubbish budget haitekelezeki.Wapi Ile fake budget ambayo haiwezi hata kufanya chochote even kwa 40%πππ
Mi nashangaa watu wanakurupuka tu! Dunia yoote inafanya open access hao wakina Bakhreasa watatakiwa kununua rolling stock yao na watalipa fee ya kutumia hiyo rail! Si kitu kibaya ukifahamu wao ndio wenye mzigo na network kubwa!Open access ya reli sio sawa na kubinafsisha shirika ile ya wahindi ilikuwa ni kubinafsisha shirika ila hii ya open access TRC ana trains zake na wewe ukiwa na uwezo unaweka train zako ili kuleta ufanisi na ushindani mzuri na pia kuvutia wateja wengi maana operators watakuwa wakishindana kuvutia wateja.
Shughuli zote za umiliki wa reli maintenance signalling etc zitakuwa chini ya TRC na operators watakuwa wakilipa fees kutumia reli kama wanavyolipa kutumia barabara.
Mfumo huu uko kwa mataifa mengi yaliyoendelea na hufanya kazi vizuri sana.
Eti hapo ndio katikati ya mji wa Naipori π€£π€£π€£π€£π€£Hata mm nilitaka kusema hivyo, yani eneo kubwa ni pori ila wakipiga picha za upande upande unaweza kushawishika, kwa mfano hako ka ghorofa huwa wananakapiga picha ya kwenda juu ili kuficha mapori tengefu.
tz feels like 30 years ago even with these facade cosmetic projects that they have,,,weh195km of vumbi road..................and these people are comparing themselves with us. π€£ π€£
Na hii open acess ndio tunafanya kwa BRT yetu na sasa kuna kampuni ya Dubai imeingia kuendesha brt sambamba na UDART.Mi nashangaa watu wanakurupuka tu! Dunia yoote inafanya open access hao wakina Bakhreasa watatakiwa kununua rolling stock yao na watalipa fee ya kutumia hiyo rail! Si kitu kibaya ukifahamu wao ndio wenye mzigo na network kubwa!
Hapa ni Nairobi cbd kabisa kuna Barabara hazina lami kabisa. Uko unashangaa Barabara za huko Mpanda zinazopita kwenye game reserves?Wacha uongo wee, hamna barabara ya lami kutoka Kigoma kwenda Mpanda. Barabara yenyewe hii. Hata Google maps inaonyesha vumbi.
View attachment 3021232
tz feels like 30 years ago even with these facade cosmetic projects that they have,,,weh
Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.Hapa ni Nairobi cbd kabisa kuna Barabara hazina lami kabisa. Uko unashangaa Barabara za huko Mpanda zinazopita kwenye game reserves?
View attachment 3021302
Imeanza kazi hiyo kampuni? Vip imeleta mabasi mapya? Itaanza lini?Na hii open acess ndio tunafanya kwa BRT yetu na sasa kuna kampuni ya Dubai imeingia kuendesha brt sambamba na UDART.
Nadhani issue ya kampuni binafsi ilianza kuongelewa mwaka 2018Imeanza kazi hiyo kampuni? Vip imeleta mabasi mapya? Itaanza lini?
Vip mfumo wa kutumia kadi utarudi?
Wataongeza Mabasi? Yaliyopo yatakarabatiwa?
Vip option ya kutumia gasi au umeme kwenye mabus mapya. Umeme si upo mwingi?
Haya mambo yote yakisolviwa Mwendokasi itashinda tuzo kama ilivyoshinda 2018.
Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.
Halafu yule Mbunge mpumbavu Jalango anajiaminisha wako way ahead kwa twitter!View attachment 3021305
Mtu anayesema Tanzania iko 30 year ago. Check mji mkuu wao wa Nairobi
Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.
Jalango anaona haya maendeleo!Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?
Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.
Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hivView attachment 3021318
Hii ni ya vumbi?Wacha uongo wee, hamna barabara ya lami kutoka Kigoma kwenda Mpanda. Barabara yenyewe hii. Hata Google maps inaonyesha vumbi.
View attachment 3021232
Hii picha uliyoiiba Tripadvisor inakusaidiaje?πWacha uongo wee, hamna barabara ya lami kutoka Kigoma kwenda Mpanda. Barabara yenyewe hii. Hata Google maps inaonyesha vumbi.
Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?Acha kutetea upumbavu. Unajua huo mkoa wa katavi, mpanda ulianzishwa lini? Na je una uhakika hakuna Barabara nyingine inayounganisha hiyo mikoa kwa lami?
Hapa ni Nairobi CBD kabisa karibu na railway station na ukipanda kidogo uptownunafika ofisi za nchi nzima ya kenya.
Lakini Tazama bus stage ya magari yaendayo kibera na mitaa mingine mingi ya Nairobi.
Mko hapa mnasema Tanzania iko 30 years back ( miji yote Tanzania ina modern bus stages) nyinyi hata mji wenu mkuu hauna bas park hata moja na zilizopo zinafanana hivi?
Mimi nadhani nyinyi ndo mko 30yrs back ya Tanzania iliposasa hivView attachment 3021318