Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni maskini hata hujui what people are discussing here.

What is this kama sio fact?😂😂 AMA leo hii unataka niache kuamini serikali yako nikuamini wewe fukara?

Here are facts. Total transit goods passing through Tanzania is equal to ya Uganda alone passing through Kenya. Neighboring countries control 50% of the total goods that passed through your ports.

Uganda are leaving your ports.
View attachment 3017864

Watanzania wengi wanazidi kutumia Mombasa port.

View attachment 3017866
Uganda huo mzigo wote ni wa nini na hana madini? Fake nyingine buana, yaani Uganda inaizidi DRC kwa cargo volume from both Tanzania and Kunyaland ports huku ikiwa haisafirishi hata debe la mchanga? 😂😂😂 Fake data za Kunyaland actually inaizidi hata Tanzania yenye population, export, GDP na landmass kubwa zaidi yake
 
Nionyeshe Mradi mkubwa mpya katika budget yenu ya 2024, keyword ni mpya usinitajie miradi ya Magufuli ...
Bajeti ya 2024 imesomwa juzi mkuu ambapo ni makadirio ya mapato na matmizi kati ya 2024-2025, unataka kuona mradi gani .? 🤣🤣🤣au hujui shughuli za kiserikali zinavyoendeshwa.?
 
Mnakusanya billion 17, mnapanga kutumia billion 31 mna akili mna tope?

Screenshot_20240615-135849.jpg
 
Bajeti ya 2024 imesomwa juzi mkuu ambapo ni makadirio ya mapato na matmizi kati ya 2024-2025, unataka kuona mradi gani .? 🤣🤣🤣au hujui shughuli za kiserikali zinavyoendeshwa.?
Hio iliosomwa juzi ndio nataka kwani tunaongelea nini hapa, ulidhani ntakupa nafasi ulete miradi yalioanzishwa na magufuli 😂😂😂
 
Nionyeshe Mradi mkubwa mpya katika budget yenu ya 2024, keyword ni mpya usinitajie miradi ya Magufuli ...
Soma huu ujinga wako hapo juu☝️
Hio iliosomwa juzi ndio nataka kwani tunaongelea nini hapa, ulidhani ntakupa nafasi ulete miradi yalioanzishwa na magufuli 😂😂😂
Wewe ni zuzu hujielewi wewe 🤣🤣🤣 bajeti imetajwa juzi, Leo unataka kuona miradi mpumbavu zuzu wewe. 🤣🤣
 
Uganda huo mzigo wote ni wa nini na hana madini? Fake nyingine buana, yaani Uganda inaizidi DRC kwa cargo volume from both Tanzania and Kunyaland ports huku ikiwa haisafirishi hata debe la mchanga? 😂😂😂 Fake data za Kunyaland actually inaizidi hata Tanzania yenye population, export, GDP na landmass kubwa zaidi yake
Usilie kijana jifunze kukubali mambo huwezi badilisha. Mizigo yao huwa nyingi ni imports wewe zero brain unaongea kuhusu exports. Jiulize DRC Ina options ngapi za bandari vis a vis Uganda. Huoni aibu mizigo ya dar kushushwa Mombasa 😂😂
 
Soma huu ujinga wako hapo juu☝️

Wewe ni zuzu hujielewi wewe 🤣🤣🤣 bajeti imetajwa juzi, Leo unataka kuona miradi mpumbavu zuzu wewe. 🤣🤣
Tunataka kuona pesa ambazo ziko allocated kwa infrastructure, wewe mkundu firimbi mbona unakichwa kizito, mimi huniwezi kunikwepa kwa mtego wangu😃
 
Hutaki tena kuona miradi, sasahiv unataka kuona pesa.? 🤣🤣🤣 nikikuita wewe ni kilaza nitakoa nakuvunjia heshima.? Tafuta bajeti ya Tz soma utapata kuona pesa zilizoelekezwa kufanya miradi, chizi wewe.
 
Mkundu firimbi umesema budget ya Kenya na Uganda zilizosomwa ni hewa, nikakuambia ulete allocation yenu ya infrastructure hutaki wataka kutuletea miradi ya Magufuli, kwenda kacheze mchezo wako kuposti viatu huwezi mjadala wowote.
 
Usiwe kama mwanamke malaya unageuza geuza maneno, ulimba uonyeshwe mirambi ya 2024, uongo.? 🤣🤣🤣 halafu kitu kingin, miaka yote nyie mmekua ba bajeti kubwa kuliko Africa mashariki nzima, Leo nataka uniletee miradi mliyofanya in the past 5 years in kenya na mimi nitakuletea miradi ya Tz ili tuone ni bajeti ipi ni kubwa na bajeti ipi ni hewa, kati ya nyinyi wapumbavu vs Tanzanians. 🤣🤣 nasubiri
 
Sh
They were comparing Non LDC countries. Remember Tanzania ni LDC while Kenya and Zimbabwe aren’t😂😂😂. Also remember Zimbabwe is wealthier than Tanzania in terms of GDP per capita.

Mngekuwa ranked hapo Tanzania could be the worst.
Show me any recent report that says Tz is an LDC country.
 
Back
Top Bottom