Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya sikia hii ng'ombe yenye komwe 🀣🀣🀣

Wewe samaboy humuingii hata robo chizi wewe, unajipendekeza kwa Sama boy Kwan uliskia Sama boy anatumia soda ya kopo au?? Au umezoea ule mchezo wa chomoa Ni jambe πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Sama boy 255 VP unaruka nae huyu ??🀣🀣
MTU mwenyewe hata kuoga hajui
Huyu taa ya check engine na airbag inawaka muda wote 🀣🀣🀣🀣🀣🀣


 
Dar mpaka dodoma nauli ni Ksh (5000-6000) kwa treni za mchongoko. Wakati nawaambia Tsh 31000 kwa EMU ni ghali wakapinga. Tutaelewana tu πŸ˜ƒ
 
Sasa mwenye bado analalq kwa floor nisumbuane naye kwa nini? Jamaa hata kununua kitanda ni shida kwakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo kajamaa kanajiona kajitu ka kwanza kuvaa viatu vya roller skate Africa nzimaπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜‚
 
Dar mpaka dodoma nauli ni Ksh (5000-6000) kwa treni za mchongoko. Wakati nawaambia Tsh 31000 kwa EMU ni ghali wakapinga. Tutaelewana tu πŸ˜ƒ
View attachment 3015791
Nauli zipo hivi:
1. Normal Class ni Tsh 31,000 treni inasimama kila kituo.

2. Business Class zile zenye ghorofa Zinatoka Dar zinasimama Morogoro kisha zinasimama Dododoma Tsh 70,000


3. EMU zipo na Class mbili (Business and Royal) Business Tsh 100,000, Royal Tsh 120,000. Zinatoka Dar zinasimama Morogoro na Zinasimama Dodoma. Zinachukua Only 3hrs.

Tanzania is real a middle Income Country Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
 
🀣🀣🀣 Acha kujianika sana, nilikuchokoza kidogo tu, umepata mooto.!! Haya pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…