Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unamuweza Sama boy ???
Sura yako nikiangalia Tu naona kabisa baadhi ya taa kwenye dashboard zinawakaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
View attachment 3015702
Huyo haniwezi. Kwanza aache kulishwa na bibi na atafute pesa yake, haezikuwa na kichwa kubwa, pua kubwa na maskio makubwa lakini bado analishwa na msichana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Again I think nilikuambia mambo yetu na Sama boy 255 uachane nayo kabisa. Mimi na yeye tunaishi in our respective countries while wewe ni mkimbizi wa Yemen, umekimbia umaskini wa Yemen ukajiangusha kwa ufukara wa Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Do you even know where your ancestors were buried?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimemfumania The Sunk Cost Fallacy 2 akilalamika Kenya inajulikana Sana kuliko uswazi πŸ˜…πŸ˜…

 
Na wale watu maskini kama Sama boy 255 mtawafanyaje? Ama mtamchangia fare ya kukuja na kurudi?πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe ulikula smocha May ukatunza picha hadi wa leo hili uringie watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tafuta pesa kijana. Are you aware you are the poorest in this forum?

Unani mention three times mzee nakunyima amani..? 🀣🀣 unaweweseka tu. Kama nakuumiza chomoa.
 
Acha shobo,hivi Kundustan nzima hamnaga hata forum yenu ya manaa?
 
Anajifanya kichwa ngumu humu kumbe anaujua ukweli.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alafu hapa atakuambia vile Kenya haijulikaniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakunyima amani so poa. Juzi nilichukua huu mguu ili nikutingishie. πŸ‘‡View attachment 3015765🀣🀣🀣 umeacha kuvaa zile viatu zako za mtumba.? Za 5 bob .?
Unanunua kiatu fake na bado unalala kwa floor? Wewe ni ng'ombe wa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nunua kitanda kijana uache kuweka mattress kwa floor. Na hiyo floor Yako pia inafanana tu na zile pit latrine that we had in our village Primary SchoolπŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 ni furaha yangu nikiona unavyoweweseka.
 
🀣🀣🀣 ni furaha yangu nikiona unavyoweweseka.
There is a reason why you will forever remain poor because You have a poverty mind.


While you spend 500 bob that you borrowed on a fake shoes, me I spend 113,000 in May alone in an investment channel to generate a monthly interest.

I also spend another 80,000 to increase my shares on Tower Sacco and another chunk I I bought shares in another company.

Next week I'll be getting dividend


On 28th I'll be attending a GM meeting discuss on interest and dividend payment.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…