Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makenya ni ******* sana, ukisikia yanaongelea kipimo chao cha maendeleo utacheka aisee, yote utaona yanataja malls na ghorofa, hajui malls are just shops na ghorofa ni kama nyumba tu, hazina mchango wowote wa maana kwenye maendeleo ya taifa.
Malls represent the purchasing of the community where the mall is located. Hamuezikuwa na malls when the purchasing power iko chini. Low purchasing power means low money circulation.

Same to gorofa, tall buildings are only built to those who can buy them.
 
Hapa mzee tunaongea kwa facts. Maneno machache vitendo vingi. Naona wewe unapiga domo tu kuanzia asubuhi. Weka hapa Information with relevant sources ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Anapata maumivu huyo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ni mjinga sana huyo dogo.
 
We need information with sources mzee. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Anapata maumivu huyo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ni mjinga sana huyo dogo.
Kubali tu unakula vitu cheap and substandard ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Smocha na coke ni kitu ya kuringia watu kweli?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
NairobiWalker leo kibanda gang amekula Smocha and everybody is about to know๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Huyu jamaa ni kama anateseka kweli kweli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, smocha nilikuwa nakula campus everytime.
Nimeangalia nikacheka. Kula smocha Hadi utupe picha humu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Purching power ya upuuzi, Unaelewa maana ya purchasing power?
Mwenzako hapo juu kuna comment aliandika Tanzania cost of living ipo chini, wewe unakuja kusema purchasing power ya Tz inazidiwa na Kenya, hivi nyie mnajielewa kweli? hamjui hata mnazungumza nini...

Nchi yenye purchasing power kubwa gharama ya maisha huwa inakuwa chini..
 
Nawagonga kwa Tawkimu tu Hizi ni Information za kisoma. Vijana wa Mama Ngina ni vigumu sana kuzielewa.


Hizi Takwimu zinaongea mambo mengi sana. Hapa maana yake Kenya, Zambia na Burundi wanakuja sana kwa kujirudia hapa Tanzania. It means maisha yao yanategemea Tanzania



 
Nimeangalia nikacheka. Kula smocha Hadi utupe picha humu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huyu jamaa huwa anajiaibisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hiyo picha ya smocha ni ya last month alitulia tu nayo kwa simu akingoja perfect time kuitupa huku๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidhaa pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, purchasing power iko down, so lazima bei ziwe chini sana, ndio kila mtu amudu maisha, yaani bidhaa na services ni cheap sana kwa mgeni anaetokea taifa lenye uchumikubwa with bigger purchasing power, mko hovyo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ