Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona mbongo akisema hii quote unajua ni mburukenge ya Tandale ambayo haijawai kanyaga mguu nje ya Bongo. Zote zikiingia hii thread huwa zinakariri hii sentensi. Ni kama wanafundishwa shuleni vile. 🤣 🤣 🤣
We unapaona Kenya ni mbali kama mbinguni? nimekaa hadi na waluhya wanakula ugali kilo 1 mtu mmoja, wanatafuna na mizizi flani inaitwa mukombero wanakula hio mizizi wanasema inaongeza libido.

Mtoto ananililia anasema wanaume wa Kenya ni washenzi kama washenzi wengine.
 
Hiyo ni inferiority complex inaongea. 🤣 🤣
 
Tuko kwa kigoma, huko kwa tourism nifate baadae Nikuonyeshe vile tumewapiga.
Black american ametembelea nchi zote mbili akasema Kenya ina better tourism infrastructure. Hiyo ndio inawauma. Unajua takwimu zao za tourism huwa za kupika. 🤣🤣🤣
 
Kuna black American Fulani alizunguka East Africa sana. Maoni yake yalikuwa kuwa Mwanza is bigger but Kisumu is more developed. Bongolala humu hazikufurahia kabisa.😂😂😂
Kwa usemi wako hao Waamerika una waabudu sana ndio maana munawauzia nchi kwa misaada ya ndege mitumba
 
Endelea kupiga panapouma, ndiyo slogan yetu humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuanze na idadi;
According to the 2019 census, marsabit county has a population of 459,785

Kigoma Region has a total population of 2,470,967
Nimeona nije nimalize mzizi wa fitina sio kelele mingi tu. Kigoma 👇kiglma at night 👇
View: https://youtu.be/2vaXEs9lw8o?si=K_jkj2-8yfezROuT. 🤣🤣 ukileta hiyo maypole sijui ikaipiku kigoma nafunga hii account now for good.. hii kigoma ni 1600km away from our ex capital Dar es Salaam. Niko pale nangoja comeback yako.
 
Hutawaona tena. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wamejifukia kwenye mashimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…