The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kasema ni almost 2 times, kwani ni uongo? Nchi ya kenya ni karibu mara mbili ya Tanzania lkn popn ya Kenya inakaribia ile ya Tanzania.How is 945,078 twice 582,646? Uko sure ulikanyaga any maths class?
Haya ******* hajajui football 😅😅😅😅😅😅😅😅
Watchman keep quiet, idiot.Kasema ni almost 2 times, kwani ni uongo? Nchi ya kenya ni karibu mara mbili ya Tanzania lkn popn ya Kenya inakaribia ile ya Tanzania.
Imagine all the Tanzanian banks in that list if you put all their assets together bado hawezifikia Assets za Equity Bank😂😂😂Wabongo wanapitia hapa Kimya kimya ka panya wa kanisa …🤣🤣🤣…7 in the top 10…. Wooow!!!!
Not everything is usually quantified into halves. There are halves, quarters, thirds, eighths, tenths, hundredths etc.Kasema ni almost 2 times, kwani ni uongo? Nchi ya kenya ni karibu mara mbili ya Tanzania lkn popn ya Kenya inakaribia ile ya Tanzania.
Yani swali lako Tu tayar unaonekana ww ni kilaza WA Aina gani 🤣🤣🤣🤣🤣What’s the difference between an Isuzu chassis and a Scania chassis. Jibu hiyo kama wewe ni mwanaume😂😂
Umeua mende kwa nyundo mkuu tuishie hapo inatosha kabisa 😬
Kama hujui tofauti kati ya Isuzu chassis na scania chassis hata nikikuelezea hutaelewa kijana.Nimekuuliza bus ni nini kwako, sio kuniandikia unreasonable things.
Where is the drainage kwa barabara? All your roads are potential rivers 🤣🤣🤣
Halafu majority wamejikusanya kwenye kieneo kidogo hakifiki hata 100k km2Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya nchi ya Kenya ambapo ukubwa wake ni 945,078 km² while kenya is 582,646 km²
Halafu makadirio ya population Tz ni 69,294,772 while makadirio ya watu hapo kenya ni 56,203,030
Ni taifa gani lenye maskini wazinzi wengi hapo.? 🤣🤣🤣 kanchi kaduchu ila kana watu wengi balaa
Tunaangalia population density ndio ina determine wingi wa watu. How many people are living per square km?How is 945,078 twice 582,646? Uko sure ulikanyaga any maths class?
Population ya Tanzania 2022 ilikua million 61 ina maana kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa tumeongezeka million 7?Tanzania
Size:947,000km²+
Population:69million
Kenya
Size:582,000km²+
Population:56million
Hii mikenya inazaana sana
Kenya is failed state ndo maana wakenya wamechoka kuona wanapolitician wakenya wakijilimbikizia mali huku wao wakitopea kwenye umasikini huwezi kuwa tajiri Kenya bila kuwa mwanapiliticianKenyans have higher standards and expectations of their government… I bet if you surveyed Bongolalas on the question of how much they trust their government immediately after Mangufuli died ( knowing of all the lies), they would have responded by 90% that they trust the government fully… talk of low esteem…🤣🤣🤣.. Kenyans we are a different breed .. we don’t worship government…
Halafu wakakaa kimya hawakutuhabarisha tena 🤣🤣🤣🤣Uwanja wameomba na bado hata kuhsinda hawezi😂😂😂
Kauli ya mtu aliyejikatia tamaa 🤣🤣🤣Basi zenye we zimeundwa Kenya, so how will it take Kenya 100yrs to have them? Unajiskiza kweli?
Banks zenu zimekusanya faida ya nchi zote zinazooperate wakati banks za Tanzania ni profits za Tanzania tu, yaani hapo ni Tanzania versus East AfricaMaskini hana pesa bana. Unijitetea sana kwa kitu haiko. 🤣 🤣 🤣 🤣
They know that Tanzanians demand quality services na hela ipo kwenye transport business plus Tahmed owner is a Tanzanian..😂😂😂😂😂
Tanzania ukileta bus za kunguni hapandi MTU
View: https://x.com/Adele_lide/status/1784297538146721821?t=3UaUyCynyXPvXNNxdCv42w&s=19
Kilio chao huko X sasa utacheka jamaa kapanda bus busia dirisha la kioo hamna wameweka mbao duh hapa bongo hutoki stand bila gari kukaguliwa🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Tanzania ukileta bus za kunguni hapandi MTU
View: https://x.com/Adele_lide/status/1784297538146721821?t=3UaUyCynyXPvXNNxdCv42w&s=19