Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta ushahidi ni fake nifunge ACC sahii🤣🤣

Kama ulikua hujui youtong ndio bus company kubwa duniani 😂😂😂😂😂
Bus mnauziwa Ksh 9M. Hiyo hata matatu imeshinda kwa bei😂😂😂.

Youtong mnauziwa refurbished/fake😂
 
11 out 20 ni Kenyan banks. 😎 Bongolalas ni kelele tu kama chura, hamna pesa.

Image
Alaf fatilia hzo bank owners DTB ni India, stanbic sio yenu, prime bank sio yenu, ABsa sio yenu, standard chartered sio yenu etc

Ndio ajabu yenyewe 😂😂😂😂😂
 
Bus mnauziwa Ksh 9M. Hiyo hata matatu imeshinda kwa bei😂😂😂.

Youtong mnauziwa refurbished/fake😂
Basi mchina ni over 450M TSH unasema 9M unaakili timamu wewe 🤣🤣🤣🤣🤣, huku watu wananunua 0km
 
Hizo buses ni 9M. Taxes ndio zinazifikisha huko, but in real sense Mchina anawauzia buses at Ksh9M😂😂😂
 
Narudia kukwambia bus ya mchina inaanza 450m TSH whether u like it or not 🤣🤣🤣🤣

Na ukweli hautabadilika na bahati mm nawajua owners wengi wa bus so huna chakunidanganya 😅😅😅😅😅😅
 
The latest fake Youtong bus which is still not available in Tz is Ksh14M. Hizo zenye mko nazo which mostly are refurbished are 9M.
IMG_0265.png
 
Alaf fatilia hzo bank owners DTB ni India, stanbic sio yenu, prime bank sio yenu, ABsa sio yenu, standard chartered sio yenu etc

Ndio ajabu yenyewe 😂😂😂😂😂
Hizo banks zingo bongslum pia, mbona haziko hapo? Hamna pesa. 🤣🤣🤣 Huna hata aibu.
 
Back
Top Bottom