Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fukara anahitaji zaidi dogo.., mko hali maututi, oxygen lazima.,
 
Lete mchezaji yeyote wa rugby ambaye ni tajiri nikuletee wachezaji matajiri Africa mashariki na kati kutoka Tz.
 
Kameumia kuona Tz imechukua pesa nyingi na wao kuambulia donnation ya msosi, msipende vya bure mbwa nyinyi mtaolewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnahitaji hela, mko hovyo kiuchumi, miradi zimekwama, wakandarasi wanasusia kuenda site.., mmelemewa sana, hehehe
 
Lete mchezaji yeyote wa rugby ambaye ni tajiri nikuletee wachezaji matajiri Africa mashariki na kati kutoka Tz.
My point remains, rugby players ain't slum dwellers.., not about the level of wealth wala nini, sio sufferers, wengi hawanaga hiyo background ya wachezaji wa kandanda.., most ni graduates, elewa my point, niondolee ujinga wenu, hizi akili eti ndio zimeenda shule? kweli nakubali wewe ni watchman
 
Utajua kama fair imefaulu baada ya matokeo ya visits afterwards; tuko hapa kushuhudia.., nitag matokea ya pato ya utalii ikitolewa mwaka mmoja badaye..,
Kati ya Tanzania na Kenya ipi yenye mapato Makubwa ya utalii? 🤣 🤣 🤣
 
Nakuona bado unazidi kumuelewesha chizi😃🙌
 
Tuliwaomba ama walituzawadi tu? a positive gesture for a long standing bilateral friendship and cooperation.,
Fala wewe walikuzawadia ukiwa kibera au ulienda kuomba kule kwao. Alafu hiyo wala siyo story Kenya na food donations, ila ingekuwa story kama ingekuwa Tanzania kaifuata hiyo food donation, kila mnapoenda mna expose ufukara wenu, kule Doha mkaomba mpk vibanda aloo, Wakenya msalieni Mtume wallahi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa si ulete evidence, kwann unaoropoka tu bila evidence fala wewe.
 
Fukara anahitaji zaidi dogo.., mko hali maututi, oxygen lazima.,
Chuki zinakufanya unakua mpumbavu, anakopeshwa anaeweza kulipa tu and vise versa is true..

Hamna uwezo wa kulipa na ndio maana mkaonewa huruma mkapatiwa walau vibaba vya Mchele 👇lazy kundurendas they can't even feed themselves. Mnatutia aibu Uganda huu, raising wenu anasafiri kwenda kuomba chakula ughaibuni. 🤣🤣🤣 qibu gani hii.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…