Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta Stadium imebuniwa na Mkenya. Ngoja uone hiyo Samia Stadium yao kama itajengwa utapata Architect ni foreigner, Engineer ni foreigner alafu kila siku wanasema elimu yao iko juu.
πŸ˜†πŸ˜†Talanta imebuniwa na mkenya sawa, mchina akatoa fedha yote sasa mnajivunia nini, sisi tunajenga chetu kwa fedha yetu
 
Alafu mtasikia walijenga wenyewe kwa hela zao.. This is BENJAMIN MKAPA STADIUM' Kuna hela ya mchina hapo penye nimeunderline
 
Eti wakenya wanachukua mafundi kutoka Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Do you have any proof?
 
Eti wakenya wanachukua mafundi kutoka Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Do you have any proof?
Fundi ni mfanyakazi wa hali ya chini sana. Kawaida wao wakija huku wanafanya kazi za hadgi ya chini. Sisi tunawapelekea architects na engineers wao kitu wanachoweza kujisifu nacho ni masons, housegirls, ombaomba na kuuza mitumba.
 
Endeeleeni na definition. WatanZania wanachapa kazi 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
Wakenya wanasubiri Muujiza wa Mwamposa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…