Iliyokuwa kwenye hiyo political poster unaiita nini?Yani even after kuelezwa mwanzoni political poster sio render bado unaleta political poster. Enyewe ni ukweli wewe ni zingiri.😂😂
Yan hata mkunya ajifanye smart kiasi gani kwa sisi wa TZ mkunya tunamuona mtu m1 mshamba,mchafu sababu ya kulala nyumba za mabati,mwizi,maskini na mwenye njaa ya kutosha that how we see kunyan,yan iko hivyo mpende msipendeShida tunargue humu na watu hawana exposure. Watu hawajawai ingia 5* hotel na inaonyesha. Hivi ndio conference rooms za 5* hotels hukaa. Hii hapa ni conference room ya the biggest hotel in Dar. Hyatt Regency Hotel. Nakuombea siku moja utoke kwa umaskini utembelee maeneo kama haya uache kujiaibisha mitandaoni.😂
View attachment 3004057
Hilo papai la mombasa huwa sina muda ya kumjibu.Seems hata kiswahili pia hujui 🤣🤣🤣🤣 imeandikwa wapi Kenyans wamefunga VAR.? The technology that you are waiting to have it after 2 years baada ya kukamilisha talanta stadia. 🤣🤣🤣
Yani kumbe Likoni bridge ilishajengwa na hatuna habari huu muda wote 🤣🤣🤣Likoni Bridge first render 👇👇🤣🤣View attachment 3003489View attachment 3003490
Likoni Bridge second render 👇 👇 🤣 🤣 🤣 View attachment 3003491View attachment 3003492
Actual likoni Bridge 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3003493View attachment 3003494
I can post hundreds of infrastructures like these in Kenya if you want, no future in Kenya.
Nadhani watakuwa wanayaita Tanzania house mostly Tanzanian businesses zitapewa nafasi kubwa kuweka office zao na hata nyingine kuwa na embassy kuepuka kukodisha majengo kwaajili ya shughuli za ubalozi.Mimi siungi mikono hii miradi kwa kutumia mafao badala ya kulipa wastaafu huu ni upigaji in making! Kazi za foreign mission si kujiingiza kwenye biashara ya Real Estate!
Badala ya kujenga haya majengo ambayo watashindwa kuyaendesha ni bora wangefufua mradi wa ukumbi wa mikutano Arusha maana AICC imeonyesha uwwzo wa ku-manage kumbi za mikutano.
That is a sure signal that the giant is awakening take heed and grab your economic glocks and stay aside. Mtupisheeeee.Safi sana hii, bring more uswazistan taxes to nairobi.🙏🏾
Hapo Arusha sio uwanja tuu but ni sports city complete with hotels, residential units and other amenities.Huko arusha ndo mtatuaibisha kabisa, kiwanja kinawekwa kwenye pori na nyumba za udongo...
Tuliosoma Cuba tushaelewa 🤣🤣🤣Hilo papai la mombasa huwa sina muda ya kumjibu.
Elewa neno papai. 😂😂😂
That's Liwatoni floating bridge bongolala. It's located in Likoni. It's purely a pedestrian bridge kitu hamna huko kwenuUsinililie mm tafadhali kawalilie wakenya wenzako, mm sio ndugu yako, mm mtoto wa Nyerere sina undugu na wewe 👇👇
View attachment 3003603
Tuonyeshe hiyo slum tuonePembeni yake kuna Lundo la ma slums ukibisha jikune uone 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuoneshe renderings za Toyota carsMwambie hivi "rendering is the final visualization that shows how a project might appear in reality. "
Mpaka ikulu slums zipo with its trademark sewage rivers.Hakuna mahali ikakosa slums in Kenya.
Can't you see hiyo ni typo.? 🤣🤣🤣 picha aliyopost yuke mnuka mavi mwenzio ni barabara ya matope, hakuna vya off-roading wala ushuzi. 🤣🤣🤣Off reading ndio gani tena?
Bongolala, if you don't know something, it's better to keep quietView attachment 3004171
Nadhani kwa phase zilizobaki tununue hizi buses za Uganda tuwe na mix ya electric na gasWaganda wameua Ndege wawili kwa jiwe moja. Kundustan hawaelewi.
1. Wameonesha uzuri wa Dar
2. Wameonesha basi lao
View: https://youtu.be/5VkRRJANS8c?si=dn-kcBI34YlP3SSg
Ni sisi ama Waganda ndio wamepiga hizo picha kutangaza product yao? Usitulilie sisi hatuhusiki.Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
As long as we all know education system of Kenya is Based on Mama Ngina Standards, we always hope one day Kenyans will wakeup from this nightmare after Mama died.Tuoneshe renderings za Toyota cars
Hata hii ni New York pia depends na time of the day.Wacha ujinga. BRT ya nchi zilizoendelea hii. Hamna kujazana kama kondoo. Hii hapa BRT ya New York