chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,122
😁😁 Wanaona kisa hapa JF tunajua mpaka chupi zao wanafikiri ni kila mtanzania, hawajui Asilimia kubwa ya watanzania hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Kunyaland, mtanzania atakupa Habari nyingi kuhusu developed countries huko lakini Kunyaland hakuna cha kukijuaWatanzania hawanashobo na wakenya. 🤣 🤣 🤣 Muuliza maswali anajitahidi kujieleza watu hawamwelewi.