Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku wakenya ni wageni, hili ni jukwaa la Tanzania, ni kama vile timu yetu ya sasa hivi ipo Nairobi inashiriki katika mashindano ya CECAFA, inatumia viwanja vya Kenya, huu ni uwanja wa Tanzania, ila tumewakaribisha wakenya, kwahiyo lazima ufuate mila na ustaarabu wa Tanzania, pia lazima utumie kiswahili cha Tanzania ili tukuelewe, usituchanganyie na kisomali humu
How..comes.unatxt back naunasema ujaelewa....iyo.nikujifanya ..au......
 
Inatusaidia kutambulika kimataifa kwamba tunayo lugha moja tu nchini ya mawasiliano.

Angalia hata kiswahili si yenu,nyie jamaa ni sjui ni wezi!!!!
Kwani.....Kenya.iitambulikii inajua.kiswahili......nyinyi.watz....muna2pima haitos
 
[emoji28] anasema mpaka 2020 itakuwa majengo tano ndefu africa.

Just 5 only,mengine yakihesabiwa mpaka minara ya mawasiliano.
2020 labda kwenye ndoto 😀😀😀😀
Wanachimba mahandaki toka 2014😛😛
 
Kwani.....Kenya.iitambulikii inajua.kiswahili......nyinyi.watz....muna2pima haitos
[emoji28] ndio maana nikakwambia nyie ni wezi.

English sio yenu ni ya england.
Kiswahili sio yenu ni ya tanzania.

Si mchukue hata kikongo mueke huko,mkue nazo nyingiiii[emoji12].
 
How..comes.unatxt back naunasema ujaelewa....iyo.nikujifanya ..au......
Tunatumia nguvu nyingi sana kukuelewa, wenzako wengi walikua kama wewe, ila walijitahidi kujifunza kiswahili fasaha na sasa hivi wanakaribia kufikia kiswahili cha Tanzania, acha kuwa mkaidi, tumia jukwaa hili kujifunza kiswahili safi bila kulipia tuition fees
 
Some Tanzanians should just be given a diploma in Kenyan affairs....the obsession is real.
 
2020 labda kwenye ndoto 😀😀😀😀
Wanachimba mahandaki toka 2014😛😛
Na wanakili juu ya dar kukimbia sana ndani ya kipindi kifupi.sasa hiyo miaka minne sjui tutakuwa na maproject mangapi insite!!!
 
[emoji28] ndio maana nikakwambia nyie ni wezi.

English sio yenu ni ya england.
Kiswahili sio yenu ni ya tanzania.

Si mchukue hata kikongo mueke huko,mkue nazo nyingiiii[emoji12].
Wooooi.....100% yah wakenya.wanajua...kiswahili.....labda....c..chenyu......niliwatembelea.watz.....Kule..kwa.vijiji...wajui hata kiswahili
 
Wooooi.....100% yah wakenya.wanajua...kiswahili.....labda....c..chenyu......niliwatembelea.watz.....Kule..kwa.vijiji...wajui hata kiswahili
Embu kuwa serious msee.

Kama kenyata tu hajui kiswahili fasaha,akiwa raia namba moja kenya what abt the rest kenyan???
 
Some Tanzanians should just be given a diploma in Kenyan affairs....the obsession is real.
Ndiyo mjue kwamba watanzania wana upeo mkubwa sana wa kuifamu dunia inavyokwenda, hawadanganywi na magazeti na TV za ndani pekee kama walivyo wakenya
 
Kiswahili..c.yenyu....ni. Wa.Kenya.wa.Congo na wa.lalas.....pia kidongo waganda.....soo..unajidai na c.yenyu.....
[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Yenyu=yenu.

Mswahili anapatikana nchi gani kati ya hizo ulizotaja????
 
Wooooi.....100% yah wakenya.wanajua...kiswahili.....labda....c..chenyu......niliwatembelea.watz.....Kule..kwa.vijiji...wajui hata kiswahili
Wakenya wa pwani wanajua sana Kiswahili, ila ninyi wengine bado sana, hili ni kosa la serikali yenu kutokuwa na mipango mizuri ya kukisambaza kiswahili nchi nzima ili kweli kiwe na hadhi ya kuitwa lugha ya taifa la Kenya
 
Back
Top Bottom