ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Huwez kuanza mradi au kufirikia kujenga kama hakuna makubaliano ya karatasi hio ondoa kwenye kichwa yako ndio maana mulikuja hapa jamii forum mukafungua thread mukaomgea Sana ππππππLeta evidence ati signing ilifanyika. Mbona kitu rahisi hivo inakushinda?ππππ€£
Eti Mulikua munatutisha haya kiko wapi SASA
Mumekosa miradi Kias kwamba SASA mpaka hewa munashangilia ππππ