President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Ukinesha kutoka kenya nafunga Account yangu 🤣🤣🤣🤣Nyie ni washamba wa kutupwa. Very small project all kenyans macho yote pale. Tanzania we have billions of billions projects. Wakenya washamba sana 🤣🤣🤣🤣Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium basi.
si kasema kaleta kazi Ruiru watu mafalamanga yatakuwa yakifanya kazi za US yakiwa Ruiru!
New kariakoo modern market 🔥🔥🇹🇿🇹🇿
Largest modern market in east and central Africa
Nina wasiwasi huenda ikawa top3 modern and largest market in Africa
View attachment 2995541
Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.Ukonesha kutoka kenya nafunga Account yangu 🤣🤣🤣🤣Nyie ni washamba wa kutupwa. Very small project all kenyans macho yote pale. Tanzania we have billions of billions projects. Wakenya washamba sana 🤣🤣🤣🤣
So unataa kila second tuoneshe project yetu ya ujenzi wa viwanja vya Dodoma na Arusha? 🤣 🤣 🤣 🤣 Exposure inawasumbua sana.So now you are running away from stadium construction to hide behind the tag of general projects… kweli wewe ni Primary school drop out…walahi!..🤣
Sasa wewe pia ni mtu wa kujadiliana naye? Kaa kando acha wanaume waongee.Hujui unaloongea zaidi ya kuhadithiwa na mama Ngina😎😎
Sasa unapiga maneno tu mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 Modern Stadium kutoka kenya umeweak hapa tuanze kukukagua kwanza?Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.
Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.Sasa unapiga maneno tu mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 Modern Stadium kutoka kenya umeweak hapa tuanze kukukagua kwanza?
View attachment 2996305
Ona mnavyofuatilia Kenya.😂😂 hustler
View attachment 2996306
Kama CAG, ATCL na Serikali wanasema ATCL ni hasara tupu, mimi ni nani nipinge hapo?Wanaosema ATCL inamake loss hawajui Magufuli aliona nini. Hii report fupi ukiconnect dots unagundua bora imake loss kuliko kutokuwepo kabisa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ejl5ceDH5R8
Kwahiyo hata Neno la Mungu unalikaidi? 🤣 🤣 🤣 🤣 Wapi mfano wako wa kuweka hiyo Modern Stadium. May be there is no modern stadium hapo kenya?Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.
Dogo usinijaribu tafadhali.Sasa wewe pia ni mtu wa kujadiliana naye? Kaa kando acha wanaume waongee.
Wewe demu. Hujui hapa upo kwenye social media ya Tanzania? Nani anayemfuatilia mwenzake. Umeshindwa nini huko Kunyatalk.com?Ona mnavyofuatilia Kenya.
Halafu wewe hujui uko section ya Kenya news? Unatafuta nini kwa Kenya news?Wewe demu. Hujui hapa upo kwenye social media ya Tanzania? Nani anayemfuatilia mwenzake. Umeshindwa nini huko Kunyatalk.com?
Please tag me akirundi na actual answer…he will just take you on a goose chase… it’s hard to argue with a foolish person coz they will drag you to the bottom where they dwell and then beat you with experience 🤣🤣🤣Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.
Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.Kwahiyo hata Neno la Mungu unalikaidi? 🤣 🤣 🤣 🤣 Wapi mfano wako wa kuweka hiyo Modern Stadium. May be there is no modern stadium hapo kenya?
Fewer? Kwa hiyo huku unakaza shingo ila twitter unaenda kulalamika na kurarua watu, hii ni personality gani?.Because there are fewer of us here. Hivi wewe ukaishi Nairobi utaanza kuchokozana na Wabongo wenzako ugenini? Pale twitter, Facebook na social media zengine Wakenya tunatibuana tu hata rais wetu hatumuachi ila tukichokozwa tunakuwa kimoja.