Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aiseeee ninazidi kuona namna gani wakenya mlivyo washamba. Hivi nchi za kiarabu wamaongea kiarabu na zinafanya utalii kwa hali ya juu. Mfano morocco ikojuu kiutalii na wanatumia kiarabu. China wanaongea kichina. Wewe ni stupid na ujinga wako unaonekana wazi wazi.
Pia Wewe stupid
 
Ati..dunia yote....iyo.c.n.ufala.na.ushamba.ukidhani dunia yote..inaitazama
Capacity ya ujinga wako inazidi umri wako. I can say your stupidity is older than you.
Kwahiyo kwa akili zako fupi yaaani ndoooogo kiwango cha kunguni unadhani website hii inasomwa TZ tu?
 
Kenya ni yenu. Tanzania ni yetu. Fanyeni yenu na sisi tunafanya yetu. Mbona mnalia lia sana tukiwabinya kidogo tu. Tanzania is very strong country siyo kama yenu hiyo yenye weak Army
I prefer it that way......kila mtu achezee kwao
 
Capacity ya ujinga wako inazidi umri wako. I can say your stupidity is older than you.
Kwahiyo kwa akili zako fupi yaaani ndoooogo kiwango cha kunguni unadhani website hii inasomwa TZ tu?
Wapiiiiiii......... Fala...Wewe..
 
njaa gani..........Tuko na pesa ya kununua kwa wingi
Wenyejji wa kenya hamna pesa nyie ni maskini wa kutupwa. Wageni toka ulaya ndio wenye pesa. Thibitisha kama unapesa kwa kuweka bank statement yako hapa.
 
Do you know what a bullet train is? Ubaya wenu nyinyi Danganyikans ni kwamba mna toa hoja bila kuwa na uelewa wa mambo na vitu mnazosema. Nyinyi bora tu mmeongea. Hata pale Europe, bullet trains are found in just a handful of cities even though almost all European countries have electric trains.Don't confuse electric train with bullet train.
Sisi tunachojua
Africa ziko sehem tatu tu
Yetu mi ya kipekee east and central africa
 
Iiiii...thread...ikiendelea itatuma ni.hisi chuki kwatz

Jazba ndio tatizo lako have fun tu. Unamchukia mtz kwasababu ya thread jamii forum??? Hahahha growup bana. Unathani wote tuliomo humu tukikutana hatutakaribishana hata kunywa kinywaji?.
 
I wish ungekua na akili but bad luck huna
,dual carriage are many here in dar es salaam and it's not talk of the town in any ways,
I Know you can Google, Morogoro road which is the gateway has been dual carriage be even you were born...
New bagamoyo road,Mandela road,Nyerere road,Kawawa road,ali hassan Mwinyi road etc. ..
You can start from tegeta up to mbagala 50 km even more on dual carriage road,crossing to airport ,back to CBD, away from CBD and around major dar wards...I was really disapointed to the way you named it looks like nakuru I don't know if nakuru is even qualified to be called a city or it's just big village
15km dual carriageway
 
Tatizo lako ni ushamba, umezoea kukaa kwenye slum aka pig houses huko kibera. Akili zako ni ndoooooooogo sana kama za kuku. Sasa basi nakishauri bure kabisa rudi darasani ukasome jiografia ujue dunia ikoje. Siyo kujifungia hapo kibera na kuanza kubweka bweka ovyo ovyo kama mbwa koko.
Hahaha usikasirike ukisikia Dar vs Nakuru.
 
Jazba ndio tatizo lako have fun tu. Unamchukia mtz kwasababu ya thread jamii forum??? Hahahha growup bana. Unathani wote tuliomo humu tukikutana hatutakaribishana hata kunywa kinywaji?.
Kwani pia Wewe ni wawapi....unadhani.Niko.serious... C.n.ngedissappear ....mm.mwenyewe...me.na.have.fun nakujua...wa.lalas....juu ..huwa..naskia.bongo.songs lkn c.wajui
 
Back
Top Bottom