We fala kumbe ni kichaa, kama Eric unamquestion who is he? We Otorong'ong'o ni nani sasa?Who isEric?😂😂🤣🤣
View attachment 2993494
Si ulizema who is he?Story za dar slum hatutaki 😅😅
View: https://twitter.com/EricNjiiru/status/1787414347175628836?t=jTUKBSwkziIarMj-ssJGIg&s=19
Eeh kama ni mbaya, why mnaenda kulia lia mpate ili mlipeleke ngija ngija malaba?Another grant from China.
Sisi hatukupewa misaada.Eeh kama ni mbaya, why mnaenda kulia lia mpate ili mlipeleke ngija ngija malaba?
Mambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇Mbona hii sijaona kupost ChoiceVariable
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Imekugusa au
View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1792103747969077451?t=3Beg03SHTmTC0BR9jFRRAA&s=19
Cha msingi ni binder,kama tope Lina binder Kuna shida gani? Ujenzi dream House unaendelea kama ifuatavyo 👇👇Zimeshikanishwa na tope. 🤣 🤣 🤣
Huu ndio mji konkriti jango sasa, sio vile vijumba vya kwenye tope la nyerobe
Hivi tukichekecha vizuri kwenye mkondo bahari unaotokea jangwani haiwezekani kuweka hydroelektriki power? Geza Ulole sema neno
Those millions were used to spruce it up well, ndio maana inenda ku host CHAN tournament this year.Ajabu mumetumia millions of money Nyayo na bado hakuna CAF standard na watu wamekula pesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee hapana flowrate ya yale maji ni ndogo na hamna maporomoko ya maana! Kumbuka chanzo cha Msimbazi ni Pugu forest!Hivi tukichekecha vizuri kwenye mkondo bahari unaotokea jangwani haiwezekani kuweka hydroelektriki power? Geza Ulole sema neno
Mambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇View attachment 2993792View attachment 2993795View attachment 2993796View attachment 2993797
Kwann hii hujapost Kwan kuzuia ushoga ni Jambo la kijinga ??🤣🤣🤣🤣 Au umeguswaMambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇View attachment 2993792View attachment 2993795View attachment 2993796View attachment 2993797
Selected maana yake mumepeka masharti mutekeleze ndio maana munafanya second renovation baada ya Ile ya Kwanza watu Kula pesa 😂😂😂😂😂 na hii mukifeli tena hamupewi approval hio mzeeThose millions were used to spruce it up well, ndio maana inenda ku host CHAN tournament this year.
Ama huna habari?NTV Kenya: Nyayo Stadium selected as CHAN 2024 venue, to close for major upgrade
Unauliza swali la kijinga sana. Hivi nikuulize, Tanzania iko na viwanja vingapi vya mpira? Je, zote zimehidhishwa kuandaa mechi za kimataifa zinayohusisha timu yenu ya taifa? Niletee picha za Taifa Stars ikicheza mechi zake za kimataifa CCM Kirumba. Tanzania nzima ni viwanja viwili au vitatu viko na approval, lakini wewe kilaza unatarajia viwanja zote za Kenya view na approval. Si unaona huu ni utaahira!!Ivi kuna haja kweli ya kubishana na wakunya about Domestic football si ni kujidhalilisha?
Tumewekewa viwanja kama vyote ila timu ipo huko kwa Malawi. Kisingizio cha renovation, kwa hiyo ULINZI, na hiyo takataka ya 3000 capacity nazo zipo kwenye renovation?
Ukisoma history ya wachezaji wao waliolipwa mishahara mikubwa ligi yao unaweza kusanya yote ukampelekea KI AZIZ au Chama hata Ayoub Lakred wakasafisha na chenji ikabaki?
Imagine beki lao la timu ya Taifa anaenda NAMUNGO?