NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,314
- 19,674
In short, ameenda kuombaomba France. Ombaomba huwa hawekewi red carpet.ππKilichompeleka Samia France ni kutafuta pesa Kwa wadau wa Maendeleo Ili kufikia ajenda ya matumizi safi ya Nishati ya kupikia Hadi 80% come 2035 from only 5% ya Sasa.
Kimsingi amefanikiwa kugeuza ajenda ambayo ilikuwa yake binafsi na ambayo iliwalenga wanawake zaidi na sasa imekuwa ajenda ya Dunia.Alianza kwa kuintroduce kule COP28 Dubai na Sasa huko France.ππ
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1788443991970639970?t=Qyu1Ze7UDrYsoSZQn98v9A&s=19
My Take: Kima wa Kundustan punguza wivu,Samia hajawahi fanya ziara ya hasara kama Ruto hata siku Moja ππ
View: https://twitter.com/AfDB_Group/status/1788957129631563943?t=fhRze0CD6MidCfrttBL4LA&s=19
Kwa hiyo hao AfDB nao wanaomba? Nani atakupa Trilioni 5?In short, ameenda kuombaomba France. Ombaomba huwa hawekewi red carpet.ππ
Kuna mmoja kaniambia wao hua hawapendi vitu vizuri wamezoea vichafuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ hata buses huwa manufactured in Kenya lakini huwa hawana hizo models kwao.
Chuma kimetulia sana. Ila hiyo pua ya mbele waifunike sasa hata kama wanafanya majaribio.
Ghorofa zimeanza kutafutwa kwa tochiNDINDA Kuna picha moja ATCL aircraft inapita anga la Kariakoo kuna magorofa mengi sana hawa jamaa zetu walikimbia ile picha. Maana walitafuta hadi Mombasa hawakupata ule mtiti. Naomba mwenye ile picha atukumbushe.
Nani alikudanganya huko majengo hayaanguki, Magufuli ama kinjekitile?So kwa argument zako ni kwamba mnaizidi Tanzania kwa idadi ya maghorofa, pia mnaizidi Dubai, London, New York kwa idadi ya maghorofa si ndiyo?