Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi hasira zote ni after kugundua mlinunua second hand planes ama?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KQ is the biggest airline kwa EAC, wiki moja pekee bila kuenda DRC inaleta transport crisis. ATCL ndege zaidi ya tatu haziko kazi na hakuna any effect kwa airline industry. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Air Tangagiza is a domestic airline.
 
Ebu mulize kama hiyo Airline yao ya scond hand planes ishaitengeneza faida tangu dunia iumbweπŸ˜‚
 
Ndege zimewashinda
BRT buses zimewashinda
Bandari imewashinda

Serikali ya bongolala imeshindwa na kila kitu, wacha tungoje vituko za SGR sasa. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kitu hawajashindwa ni kuomba misaada pekee.
 
KQ is the biggest airline kwa EAC, wiki moja pekee bila kuenda DRC inaleta transport crisis. ATCL ndege zaidi ya tatu haziko kazi na hakuna any effect kwa airline industry. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Air Tangagiza is a domestic airline.
Biggest na inaendesha hasara isiojiweza kulipa hata madeni yake yenyewe 🀣🀣🀣

Biggest inamiliki ndege tatu chavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimeskia unasubiri CAG wetu na wenu vipi au kwenu kila kitu kipo sawa ???🀣🀣🀣🀣🀣
 
KQ is the biggest airline kwa EAC, wiki moja pekee bila kuenda DRC inaleta transport crisis. ATCL ndege zaidi ya tatu haziko kazi na hakuna any effect kwa airline industry. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Air Tangagiza is a domestic airline.
Nyanoko. Owned by KLM 🀣🀣🀣🀣
 
Tanzania is one of the most backward countries in histroy. Demonstration is a sin down there.

You can’t demonstrate in peace.

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1789506656256057375
Let us see which country is a backward one between Tanzania and Kenya as long as modern infrastructure is concerned.

1. Tanzania have biggest hydropower plant in the region and one of the biggest in the world, Kenya don't.

2. Tanzania have BRT (Bus Rapid Transit) Kenya don't.

3. Tanzania have electrified SGR, Kenya don't.

4. Tanzania have cable stayed bridges, Kenya don't.

5. Tanzania have the biggest and modern stadium in the region, Kenya don't.

6. Tanzania have the one and only biggest truck assembly plant in the region, Kenya don't.

Just to mention the few, so Kenyans don't have legitimacy to call Tanzania is a backward country while they don't have many modern infrastructures which are found in Tanzania.
 
Andika tu kwa kiswahili dah astaghfirullah πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Andika tu kwa kiswahili tutakuelewaπŸ˜‚πŸ˜‚

Again who doesn’t know that Tanzania is backward?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…