Zip lining inasaidia nn kwa maendeleo yetu punguza upuuziπππ wind energy ipo singida, tunnel ipo,Mna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippers
Soon izo zitakuazilipendwa hii battle iendelee kudumu tu utakua shuhuda mzuri kwa wengineMna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippers
Ninyi mipango yenu siku zote ni hovyo hovyo, hamna kitu mnapanga mkiwa na akili timamu, rais wenu anakuwa amevuta bangi mda wote, inakuwaje mnakimbilia kupoteza pesa kujenya Lamu port wakati Galana project haijakamilika na watu wenu kila siku wanakufa kwa njaa?,, bure kabisa nininyi..hakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza
Wewe tanzania huna elimu nayo na ndio maana tumeweza kuwasumbua kwa muda mfupi kwa sababu mawazo yenu yote hua munajua ni ile ya 90s kumbe kimyakimya nchi imejengwa sanaSai hakuna cha maana sgr yetu phase one inalink msa to nai very important.... Sasa dar to Dodoma si nikama Mombasa to garissa
matusi ni dalili ya mtu mjinga na mpumbavu kushindwa kutetea hoja yake kistaarabu.[emoji23] [emoji23]Pigs are dragging you into their puddle of mud, Ignore them fully.
Huyo anaweweseka, ameshagundua kwamba Kenya inakimbiza upepo kwa sasa, kasi ya Magufuli imewastukiza hawakutegemeaHakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uaminiπππ
Anauliza eti dodoma kuna nini???? Collo kweli ni kilazaHuyo anaweweseka, ameshagundua kwamba Kenya inakimbiza upepo kwa sasa, kasi ya Magufuli imewastukiza hawakutegemea
Kwa mambo ya flowers hata hampaswi kuongea. Kenya is the third biggest producer and exporter of fresh flowers in the world
Dodoma kuna nini ya maana? Nikama tu garissaWewe tanzania huna elimu nayo na ndio maana tumeweza kuwasumbua kwa muda mfupi kwa sababu mawazo yenu yote hua munajua ni ile ya 90s kumbe kimyakimya nchi imejengwa sana
Fungua thread alaf ntakuonesha dodoma kuna nini na nini, shida yako kujua fungua uzi nianze na weweDodoma kuna nini ya maana? Nikama tu garissa
The guy is desperate, doesn't believe on what is happening in Tanzania now, Dodoma kuna biggest University in East and Central Africa, with capacity of over 40,000 students, kunajengwa uwanja mkubwa wa michezo with capacity of 95,000 people, second biggest in Africa after Soccer city in South AfricaAnauliza eti dodoma kuna nini???? Collo kweli ni kilaza
Dodoma ni village ata mngeunda railway to arusha kwanza iyo mlichora giza mseFungua thread alaf ntakuonesha dodoma kuna nini na nini, shida yako kujua fungua uzi nianze na wewe
.Iyo ni yah pili.Africa....kwani kuna m2ame cook Google juu c.yoni
Huyu naye ni mziiii ni mnoma sana ...diamond aliishaKing kiba - maumivu
Zip niya tourist kujinice ni expe kuinstall btwZip lining inasaidia nn kwa maendeleo yetu punguza upuuziπππ wind energy ipo singida, tunnel ipo,
Mbona unajishuku buda?matusi ni dalili ya mtu mjinga na mpumbavu kushindwa kutetea hoja yake kistaarabu.[emoji23] [emoji23]
Naona umemrudisha darasani bila malipo.Zip niya tourist kujinice ni expe kuinstall btw
wapi evidence sisi tayari tunaelekea nakuru[emoji23][emoji23]zote izo ili iweje unatafuta simple excuse? Do you think unaweza jenga kitu bila malengo?kumbuka phase II tayar iko launched kwahyo by 2021 tutakua na km zaidi ya zenu itakua dodoma na zaidi ngoma hailali apa...