Na imeandikwa kabisa 🤣🤣🤣👇👇Angalia hii video kuanzia dakika 0-1:37. Ujionee jinsi kiwanda cha ku assemble HOWO Tz vile kinafanya shughuli zake. 👇
View: https://www.youtube.com/live/rediPOIDMsU?si=DKGdb-FQRlEXZ3FB. The one and only HOWO's Assembling plant in East Africa.
Ati kwa nini afungue kiwanda?😂😂😂 Kwani Dongo Kundu alienda kufanya nini?😂😂Kwann afungue kiwanda huko wakati viwanda vyake vipo hapa Tanzania, nyie huko yanakuja ma trucks yakiwaletea mitungi na gesi, kiwanda cha nn wakati Tz na hapo sio mbali, huko kaingia mkataba na serikali yenu ili yeye awe ndiyo muuzaji mkuu wa gas.View attachment 2988566
Mtanzania kaandika kujifurahisha nayo😂😂😂.Na imeandikwa kabisa 🤣🤣🤣👇👇
Alaf wameumia Sana kuona kiwanda kikubwa Sana alaf ni very modern na tena Ku assemble 40 trucks a day sio mchezo mzee
View attachment 2988578
Mobilization gani na mlishapata constructor? Ama pesa ndio hamna?😂😂Mobilisation stage unataka nini zaidi. Our projects are surely going to take place sisi tuna uhakika maana hatutegemei pesa za watu.
Dongo kundu has 3 bridges with a combined length of 4km.Shika adabu yako.
Hizo ni hela zetu wewe falaKCB Tanzania alone has assets worth more than $1B.
Assests ni Hela zenu?😂😂😂 Do you know what assets are? Or you are confusing assests with savings?😂😂Hizo ni hela zetu wewe fala
Hawa wapumbavu wanazungumzia assets wanajumuisha pamoja na hela zetu tulizoweka huko. Anatakiwa anoshe capital ya KCB Tanzania hiyo ndio hela waliyowekeza hapa.Assets n how about revenues n profits?
Huyu naye, eti 15yrs back we were far better than Tanzania, tangu lini Uganda ikawa better than Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni new commuter rail in DSM and DodomaJambo zuri linapikwa. Tutaona matokeo makubwa
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1789298834205491607?t=T_Wpet1y5FxFmjOlmiw77g&s=19
Nimecheka hata mm 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo Mganda mwambie aache kujishaua! Ati miaka 15 walikuwa better?
JKIA at night when there is nationwide blackout
View attachment 2988529
Umeona jinsi ulivyo fala sasa toa customers deposits na vikorokoro vingine utapata value ya KCB Tanzania 🤣🤣🤣
Contractor akipatikana hupewa muda wa kuagiza vifaa na kuvileta site kwani ni kipi wewe hujaelewa hapo? Procurement system yetu iko vizuri sana usifananishe na yenu.Mobilization gani na mlishapata constructor? Ama pesa ndio hamna?😂😂
Hana elimu hiyo mtumbua mishipa huyo.Hawa wapumbavu wanazungumzia assets wanajumuisha pamoja na hela zetu tulizoweka huko. Anatakiwa anoshe capital ya KCB Tanzania hiyo ndio hela waliyowekeza hapa.
Sasa kama mnamfagilia baba yake kwanini asifurahi? Hivi una akili timamu wewe?Huyu msichana wa Magufuli was so happy to board a Matatu😂😂
View: https://x.com/FauzKhalid/status/1789358156914540915
Mwaka mbaya sana kwa Wakundustan, Kila silaha yao sasa inatembelea mattercore 😂. Imagine Runda pako hivi je kajamba nani kule wapoje 😂.Sijawahi kuona huu ushuzi oyesterbay hata ilala sijawahi ona 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/YOUNGEST_KOT254/status/1787421604428865582?t=i45yA8eqEY4Iiy2Qs101tg&s=19
View: https://twitter.com/udakunews_kenya/status/1787668667666235888?t=ZytTLXx4PAZ3rpTwSrjwSw&s=19
View: https://twitter.com/K24Tv/status/1787702278347956388?t=ODnncP7ETQp10CCXnpeWIw&s=19
View: https://twitter.com/kulanpost/status/1787575886889284022?t=So26J1lj429swCHARiTYqw&s=19
View: https://twitter.com/RAbdiAnalyst/status/1786691551076270256?t=zaM39mzeg-YqrAh00xdNFA&s=19