Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijapinga. Wewe nimekupea evidence na bado unapinga. Hadi unaingiza matusi, you're always reasonable until you get cornered then you become just stupid like the likes of Mgonjwa Matapiko.
Dah! Uliniwekea nimetukana? Nilikaa kimya imekuaje nimetukana hujachanganya kweli?
 
🀣🀣🀣 wewe ni maandazi. Au wewe ni bumunda..

Back to your discussion ,🀣🀣 ni nani mwenye ame invest sana huko KPL Kati ya Azam vs KCB..?

Nipo hapa nasubiri majibu. 😎
Azam ameinvest Ksh 800M while KBC wameinvest Ksh1.6B.
 
We all know Kenya ndio inacontrol Tanzanian economy.

Ebu nitajie kampuni kumi pekee za Tanzania that are in Kenya alafu Mimi nikutajie 500 Kenyan companies operating in Tanzania.
Kabla sijaongelea Azam TV, Taifa Gas, Tahmeed na wengine pitia hii doc kwanza. Uone Namna Tanzania inavyo control uchumi wenu kimy kimya. 🀣 🀣 🀣 🀣

 
Even their President knows that Kenya controls Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Mumezoea wachina vibaya na omba omba zenu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Kenya wachina wanafanya biashara kubwa kubwa lakini bongoslum ni misaada tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚





Unataka kujua biashara za wachina wanazofanya bongo.? 🀣🀣🀣 nyie huko si wanakuibieni tu, wana wasainisha viongozi wenu BOGUS TREATY.
 
Kutoka kwa tuonyeshe OB van ya KBC mpaka letu ndio zuri πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…
 
Even their President knows that Kenya controls Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2987921
Bahati mbaya unakata mwaka 🀣 🀣 🀣 Tunakubali miaka ya 2010 kurudi nyuma mlikuwa mnajitahidi. My friend miaka inabadili ubao umebadilika.

Hii ni taarifa ya 2022 kenya haimo hata kwenye top 10.

 
Glad hazijakaa gari za mkate (super loaf) 🀣🀣 gari za KCB zinakaa gari za mikate. Ningalikua mimi nisingalipost. 🀣🀣🀣
Mwenzako ameona aibu akatoroka we we unashupaza shingo na mali ya mchinaπŸ˜…πŸ˜…
 
Alafu hili jiji lenu linaconfuse.

Niwie radhi nipe tofauti ya Tatu City na Konza.

Zipo eneo gani I mean (Administrative Region) KM ngapi kutoka NBO.

Maana naziona ona mnaziweka humu ila hamziweki kwa namna mnavyeweka Nairobi City (Skyline etc).
Tatu City Iko Kiambu County while Konza City is located at the edge of three counties (Makueni, Machakos and Kitui). Meaning Konza City is made up of three counties.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…