Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mzee unajadiliana na bumunda. Please tunza nguvu zako kwa mambo ya maana. Kenya already agreed to be kushindwa. Ndio maana huyo jamaa anazunguka zunguka tu kama pia. Hawezi hata siku moja kukuleta data. Atakuletea vipicha viwili ili ajifurahishe.


But the truth in Kenya has Know future na yeye anajua 🤣 🤣 🤣 🤣
 
This is not a ministry😂😂
Huwez kua mjuaji wa kila kitu 😅😅👇👇
Screenshots_2024-05-10-15-19-24.png
 

Jamaa nimemuona yupo na matatizo mahali fulani. Lakini tuendelee kumvumilia tu. Siku zikifika naye atanyoosha mikono kama MK254 Huyu jamaa alikuwa ameweka ramani ya Tanzania ikiwa LDC. Hicho ndicho alikuwa anakitumia kama fimbo.

Huyo jamaa at least alikuwa anakubali akizidiwa. Na baada ya Tanzania kutoka kwenye LDC alikuwa muungwana na kuiondoa hiyo picha na kuweka picha ya Kijani ya Africa.

Huyu kijana Teargas yeye ni ubishi tu uliochanganyika na Inferiority Complex. Hana facts just lkurusha mipicha tu na kujigamba bila uwezo.
 
Hizo ni pitches zinapatikana tu Primary Schools of which most Primary schools have got good pitches than that one.
Msenge ww Kenya hakuna pitch ya mpira ya kijani kibichi.
Viwanja vyenu vina vipara nyasi hazijakamilika.
 
Back
Top Bottom