Admit ukweli kua mwenye dhamana ni Azam TV ndio ana rights za kuonesha ligi yenu na hakuna MTU mwengine mwenye uwezo huo kwenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣KBC inashika kila decorder zuku/star times/DSTV zote
Msikieni huyu bumunda 🤣🤣🤣🤣Kilaza unataka uwekewe evidence mara ngapi? Ubishi za kijinga sana hizi
Hakuna Ligi duniani inaendeshwa hivyo. Lini BBC wakafanya mambo hayo. KBC ajikite kueneza propaganda za Mama Ngina. Sports TV zinakuwa dedicated for Sports.KBC inashika kila decorder zuku/star times/DSTV zote
Waliweka na urembo kumbe 😂😂😂😂😂Au sio unafkiri ndege ni kama train hzi ambazo zilikuwepo world war 1 😅😅😅😅
View attachment 2987459View attachment 2987460
Kuna mkenya kapost humu assembly plant humu Nikacheka sanaJana niliona kuna mtu alipost nilicheka saanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Most planes your government is buying are refurbished planes. You will never hear KQ, Rwandan airlines or Ethiopian Airline planes being repaired for 7 months.Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilà.....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! 🤓
Ndege mlinunua refurbished.
Tanzanians are very smart than Kenyans.Mimi nikija Tz kama tu ilivyo kuwa Ethiopia, siwezi panda hizo Bureti traini zenu manake hujui msitu upi mtagwama umeme ukikatika. Mambo ya kusafiri roho mkononi ndo hayo. Kwanza maswala ya umeme Tanzania yalivyo!? Janga hilo!
Kule Nairaland walifurumushwa na kwa sasa wanaogopa kuongelea issue yoyote ya kenya huko. Kila nchi inawakataa kutokana na behavior ya mbovu.Kuna mkenya kapost humu assembly plant humu Nikacheka sana
Hapa kuna pesa inapigwa mkuu, hakuna cha ukarabati mkubwa wala nn, hizo ndege ni mpya kabisa na tulikuwa tunaona utengenezaji wake hatua kwa hatua mpaka inakamilika, iweje huo ukarabati mkubwa? Wanakarabati nn kwa miezi saba? Kuna harufu ya ufisadi hapa mkuu.SASA Wanaumia kwann, kumbe na Air Tanzania inawanyima usingizi😅😅😅😅
View attachment 2987465
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mkenya kapost humu assembly plant humu Nikacheka sana
Because umeanza kuingia kwenye internet 2023. Unataka watu waanze kuiongelea Rwanda kwa kipi? What is the benefit ya kuanza kuandika News kusu Rwanda?Most planes your government is buying are refurbished planes. You will never hear KQ, Rwandan airlines or Ethiopian Airline planes being repaired for 7 months.
KAZI iendelee ChoiceVariable 🤣🤣🤣Hapa kuna pesa inapigwa mkuu, hakuna cha ukarabati mkubwa wala nn, hizo ndege ni mpya kabisa na tulikuwa tunaona utengenezaji wake hatua kwa hatua mpaka inakamilika, iweje huo ukarabati mkubwa? Wanakarabati nn kwa miezi saba? Kuna harufu ya ufisadi hapa mkuu.
Rudisheni chenji mlizopiga.Wale mliokuwa jirani na Utawala wa awamu ya 5 mliibuka mabilionea sana Kwa sababu za mikweche kama hiyoKAZI iendelee ChoiceVariable 🤣🤣🤣
Mbumbumbu wanaulizwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇Ndege mlinunua refurbished.
Aug 2023 alafu 5 months later KBC ikapewa hizo hizo rights.Admit ukweli kua mwenye dhamana ni Azam TV ndio ana rights za kuonesha ligi yenu na hakuna MTU mwengine mwenye uwezo huo kwenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/AmandoCrusader/status/1697173801048420770?t=bQX9yT0LO3z7fY2wg😵pQ&s=19
Baada ya Azam kudhamini ligi ya Kenya naona matunda yameanza kuonekana, naona timu zinaanza kupanda ndege sasa.Gor lands safely in kisumu to face shabana FC
View attachment 2987468View attachment 2987469View attachment 2987470View attachment 2987471
Alafu deal ya KBC is more lucrative than ya Azam.Aug 2023 alafu 5 months later KBC ikapewa hizo hizo rights. View attachment 2987520
Yes 1.25m$ first year and 100,000 increase in the following 6 years. Wakati Azam wanatoa 7.6m$Alafu deal ya KBC is more lucrative than ya Azam.