President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,628
- 94,225
Hiyo ndio typical kenyan. Anataka abishe tu hata kama kitu kiko obvious. Dig deep down, inferiority complex inawala taratibu taratibu. Wanaiogopa Tanzania kuliko kitu chochote.Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?
Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?
Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?
Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!
Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.
Mbona tukiongelea ma slums yenu huwa unaumia sana? Au wewe ni mmoja wa wakazi wa huko, mana more than 70% ya wakazi wa Nairobi ni ma slum dwellers.Mbona 2.5 million ni kidogo? Weka milioni tatu ujifariji nayo hata zaidiView attachment 2987270
Baada ya hapo tunataka tune match ikioneshwa na Azam TV. Thanks Azam TV kutuonesha Kundustan Football matches.Gor lands safely in kisumu to face shabana FC
View attachment 2987468View attachment 2987469View attachment 2987470View attachment 2987471
Mbona hio parking area imeoza ina fungus au airport haitumiki mara kwa mara 🤣🤣🤣Gor lands safely in kisumu to face shabana FC
View attachment 2987468View attachment 2987469View attachment 2987470View attachment 2987471
Utoto mwingine huu hapa 👆👆Wapi!? CAF has never approved that grazing field. Ama Leta ushahidi
Asante kwa kutazama KPLBaada ya hapo tunataka tune match ikioneshwa na Azam TV. Thanks Azam TV kutuonesha Kundustan Football matches.
Azam wanatakiwa waishikuru sn, kwa sasa wanapambana wafikie ligi ya Tz lkn waaapiii tulishawaacha, huku Tanzania ligi inakuwa bora kutokana na pesa, bingwa wa Tanzania anapata zaidi ya TZS 600m, bingwa Kenya anapata TZS 20m.Baada ya hapo tunataka tune match ikioneshwa na Azam TV. Thanks Azam TV kutuonesha Kundustan Football matches.
Kupitia Azam decorder sio?Asante kwa kutazama KPL
Jana niliona kuna mtu alipost nilicheka saanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KBC inashika kila decorder zuku/star times/DSTV zoteKupitia Azam decorder sio?
mmeipita Mogadishu kwa slums! 😃 😃 😃Angalia numbers za slum dwellers then nambie ipi ni the biggest slum in the world.View attachment 2987139
Kupitia Azam TV. Hakika msaada wa walipakodi wa Tanzania kupitia Azam TV kuupokea kwa mikono miwili.Asante kwa kutazama KPL
In a year wamebeba tu Abiria 850,000😂😂😂.Halafu saa hii wana ndege tano mpya ziko grounded na bado wanang'ang'ana kununua zingine ndio waonekane mababe. Hii biashara hawaiwezi na kitawaramba. Wanadhani airline ni daladala.🤣