President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo huyu hapa Rehmatullah Habib:-Halafu hawa jamaa mbona kama persians?
Kwa mbali naona Registration no ya gari hizi inaanzia na TZ
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo huyu hapa Rehmatullah Habib:-Halafu hawa jamaa mbona kama persians?
Ukisikia jina la Rehmatullah ni ya kina Rostam Aziz hayo.Mkurugenzi wa Kampuni hiyo huyu hapa Rehmatullah Habib:-
Kwa mbali naona Registration no ya gari hizi inaanzia na TZ
View attachment 2985736
Kwani kuna shida kuwa na wawekezaji wenye Asili ya Iran? Halafu huyu jamaa amezaliwa hapa hapa Tanzania na kasoma shule hapa hapa.Ukisikia jina la Rehmatullah ni ya kina Rostam Aziz hayo.
Ila ni sawa Mungu ajaalie.
Kwahyo we mbwa, hii ni china au?? 🤣🤣👇Tuonyeshe kwenu mmewajengea waathirika nyumba zipi? I like how you guys share Chinese news here like it's your news.
Kwahyo we mbwa, hii ni china au?? 🤣🤣👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6tVhSUpnfF/?igsh=MW1uMWVhOGE3YnlqMA==
Nawaza tu ikitokea issue kama hii hapo kwenya watafanya nini.
Hii ni media mpya kabisa ya Bongo Crown Media
View: https://www.instagram.com/reel/C6vbBh4stq3/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Zipo zingine, and some are way better than your sprawling uswazi hovels that you call dream housesUjajibu swali,nilikuuliza nbo slum ni kibera tu hamna slums zingine?
Kabisa. Na lile famba linalosema Media za Tanzania hazitoi taarifa sijui nilitukane? Tanzania tunatoa Taarifa in profession way.Nimependa huyo mama anasema anataka mbegu akapande.
Nchi zingine wala usingesikia neno mbegu, ungesikia unga wa ugali tu.
Watanzania wanapenda kujitegemea.
Wewe zinjathropus huna Rika yako humu ndani but akili inatoshana na ya nzi.Leta kukiwa na mafuriko
Yes Yule ni FAW Tu ila huyu wakigamboni nimeskia ata assemble mpaka youtong busYule GF TRUCKS anadili na FAW or?
Wakenya wasione hii plz 😅😅😅 sipendi ugonv
View: https://www.instagram.com/reel/C6vH4o7t_ob/?igsh=MWt4aHh2ZW8xYmI2dw==