Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unasumbuka kupigia mbuzi guitar? Let them believe what they've always believed is the truth, common sense notwithstanding.

Inawaumiza sana kuona jiji lao ilivyo mbovu kimpangilio na muonekano wanatafuta pa kufutia machozi and that's where Kibera comes in
So unataka kutuaminisha nbo slum ni kibera tu?
 
So unataka kutuaminisha nbo slum ni kibera tu?
Mimi sitaki nikuaminishe chochote. We are just trying to table evidence and the truth about Kibera population for you. You can choose to believe or not to believe
 
Kazi zinaongea

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1788479312347251082?t=u6GtcusMLU-JnMDvZGMVNg&s=19
Screenshot_20240509-123526.jpg
 
Kwa Kenya sio ajabu ila duniani ni maajabu kwa jengo kuanguka na kuua watu.
Kwenu mmezidi.
Kenya majengo kila mwaka yani kila mwaka ni must yaanguke.
Hivi mngekumbwa na kimbunga kama kimbunga hidaya cha kule Mafia mngepona!?
Halafu sasa yanayoanguka magorofa tena kwa mvua nyepesi tu.
Kwa mafuriko ya Dar umesikia kuna jengo/gorofa limeanguka!?
Kenya mna ujenzi mbovu.
 
Broo, a poor quality house is a poor quality house, iwe ya mabati ama tofali. There is absolutely no difference between someone living in this house and someone living in a mabati house. Some mabati houses are very nice btw.
residents-of-keko-mwanga-an-area-of-dar-es-salaam-tanzania-fill-up-with-clean-water-at-a-wateraid-installed-collection-point-in-urban-slum-neighbourhood-keko-mwanga-temeke-dar-es-salaam-tanzania.jpg


Alafu yafaa ujue Kenyan slums are illegally built on government land so people can't risk building permanent houses on land that can be repossessed any time. That's why most of them are mabati houses.
Huwez fananisha nyumba chakavu ya bati na ya tofali we kichaa.
Ya tofali naweza hata ipiga msasa kwa kufanya skimming/plaster na nikaikarabati kwa tofali zilezile.
Ila ya bati astagafiru tena kipindi cha mafuriko na joto nyumba inakutesa.
Ndio maana kwenu wafu wengi wa mafuriko kwa kuwa nyumba za mabati chakavu ni nyingi.

Hiyo nyumba ya hapo pembeni nikimuita fundi anaikarabati kuwa ya kisasa,sasa sijajua ya mabati itahitaji ukarabati ama uvunjwaji uanze ujenzi upya!?
Pia nyumba nyingi hizo ni za mji mkongwe yani za miaka ya 1970s huko.
Hao wanaoishi ukiwauliza nani alijebga usikute wakakwambia babu yake baba.
Hiyo ni miji mikongwe wala sishangai.
Ila kitendo cha kusema "slums are illegally built on government land" yaonesha Kenya mna umasikini sana.
Tanzania mtu hathubutu kugusa mali ya serikali/umma hata upunje.
 
Back
Top Bottom